Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,788
Habari za muda huu wakuu
Kuna dada ambaye ni rafiki wa karibu wa my sister,ni mrembo kiasi chake, ana kipato kizuri tu na ni mlokole pia.
Aliolewa na mwanaume ambae naye pia yupo vzr kiuchumi na walifanya harusi kubwa sana,km mnavojua walokole hawarusu kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndo so dada alivumilia mpk alipofunga ndoa.
Walipoenda honey moon ule usiku wa harusi hawakuweza kufanya tendo sababu jamaa alikua anadai amechoka sana na mishe za hiyo siku,dada akakubali kishingo upande,mpaka honey moon inaisha hawakufanya tendo kbs,jamaa akiwa anajitetea kwamba yy mwenyewe anashangaa hiyo hali ya kichwa cha chini kutokusimama na kumbe toka awe na ufahamu hajawah kudinda.
Miezi kibao ikapita yule bi dada uzalendo ukamshinda akaamua kutoka nje ya ndoa mpk kanisa lilipokuja kugundua mwisho wa siku likamtenga kwa dhambi ya uzinzi,japokua aliwaelezea wachungaj chanzo cha kufanya hivo ila hakueleweka.
Je
- huyu dada alionewa ?
- watu wawe wanafanya tendo kabla ya ndoa ili yasitokee km haya?
Mchango wenu ni muhimu sana