TheMeek
JF-Expert Member
- Mar 12, 2016
- 460
- 400
Ndugu wana MMU,
Maamuzi mengine hayafai kwenye mahusiano ya ndoa.
Jirani yangu yapata week mbili sasa mke wake kamkimbia tena pasipo kuacha taarifa zozote kuwa anaelekea wapi.
Mwanamke kaondoka kama alivyo, hakuchukua kitu chochote ndani ya nyumba zaidi ya kadi ya benki. Kazini kwake pia hakuwa na ruhusa inayoeleweka ( yeye ni mtumishi wa Serikali na mpaka muda huu hayupo katika eneo lake la Kazi)
Jamaa kaachiwa watoto wawili, na mpaka muda huu hajampata mke wake. ; ameishatoa taarifa kwa vyombo vya Usalama.
Baba Mkwe hataki kumsikia wala kuona anaendeleza mahusiano na binti yake. Na inavyosemekana, Baba Mkwe ndiye source ya kumtorosha binti yake ili asiendelee kukaa na jamaa.
Kutokana na maelezo ya jamaa, anasema, alipata tetesi kuwa mke wake alifanya ngono na jirani yake siku moja kabla ya tukio na hivyo akaamua kufunga safari mpaka anapoishi na akakutana na uhalisia wa mambo ndani ya Nyumba wanayoishi na mke wake ( vithibitisho ).
Hapo ndipo jamaa alipoamua kutoa kichapo kwa mkewe na mke huyo kukimbia.
USHAURI: 1. Wazazi si vyema kuingilia ndoa za watoto wenu kwani ni kuwapa viburi na jeuri ya kuendelea kufanya Uovu katika NDOA.
2. Enyi wanandoa, heshimuni ndoa zenu. Kuchepuka sio deal. Ubinafsi sio deal. Mnapotengana mnawaumiza watoto na kujenga laana katika Familia. ( Generational curses )