torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,490
- 11,196
Siku za nyuma hapo nimeshuhudia mchezo ambao kwangu naona kama kituko hivi!
Mwanaume kutokwa na michozi baada ya kutoswa na demu eti kisa umesolola sana ni upumba.vu sana
Mjamaa kwa muonekano anaonekana ninja sio mlamba lips, poda anapaka lakin kwa mbaaali.. Kwa asilimia 80 atakuwa mwanaume wa dar yule
Wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai lakini bado sijaona sababu yoyote ya kimapenzi kumfanya mwanaume alielie kwa mwanaumke
Haya ma clip nayaonaga kwenye movies tu! Sikujua kama wadau wana apply live live... On spot mjamaa alipiga magoji na michozi yako nusu ndoo na walai tena mchizi alishout "i love youuu" daah! Yani kama ningekuwa karibu yake angechezea kofi moja la kibaba
Wakuu, nimeskuti sana tu.. Lakini sijaona sababu ya msingi ya kumliza mwanaume na mikamasi juu! kisa nini? papuchi au nini?
Natamani na mimi ni experience hili jambo.. nimpate huyo msichana anipelekeshe kweli kweli mpaka nimtolee machozi yangu! Lakini sidhani kama itatokea disaster kama iyo kweny maisha yangu
Najua Jf inaweza ikawa na wanaume waliofanikiwa kulizwa na mwanamke kwenye harakati hizi za mapenz...
Labda waje waseme ni nini haswa kinachopelekea uzalilishaji huu wa jinsia