Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Amani iwe nanyi Nimekuwa nikipata visa vingi na vyote karibu vinafanana kwa wana ndoa, tatizo nini huko? Mlioko huko tuwekeni bayana, Tangu mwaka uanze ni ndoa 6 visa vyao ni mwanamke kufanya...
8 Reactions
83 Replies
8K Views
Holla people. .. I hope you had a great weekend. Glory to God mine was superb and it end with a long wire for more than a hour talking sweet nothing...... On the call he gave me request and here...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Mpenzi wako ambaye mmeshakua nae kimapenzi baadae akaamua kutumia kigezo cha kukupiga stop kukutana tena mpaka upeleke mahari kwao ni sahihi? Na hamjakutana kwa miezi 7 au 8.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Salama wakuu, Leo nimeona niseme tu ukweli maana inakuwa Kama ni desturi sasa.... Huyu brother ni Kama ndoa yake Haina changamoto na siku zote za mwaka yeye yupo peponi. Kitu ambacho naamini sio...
27 Reactions
71 Replies
9K Views
Profesa mmoja wa Chuo Kikuu kimoja hapa nchini, amemfelisha mkewe katika moja ya mitihani yake ambayo Profesa huyo ndio somo lake. Wenzie walipomuuliza alijibu tu kwa kifupi kwamba anajua mkewe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawaza juu ya huyu msichana, hii tania kaiga kwanini hakuwahi kunipiga vizinga vya ajabu ajabu, Leo nimeshangaa yani bila kujali upepo ulivyo, eti nimpe laki tatu akanunue kitu fulani. Yani hapa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana jamii! Kwanza poleni kwa msiba wa Mzee Kingunge. Niingie kwenye maada. Katika pita pita kwenye familia nyingi nimegundua kama familia (mke, mme) wakiwa na gari moja basi hilo gari...
8 Reactions
125 Replies
10K Views
Wadau, Nataka nione maoni yenu humu, Hebu jipime mwenyewe uhusiano wako na mke au mpenzi wako ulienae sasa kuhusu jinsi upendo wenu ulivyo sasa, halafu ghafla likatolewa tangazo la lazima kwamba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikutana na binti mrembo mwenye chura akanivutia sana kuwa naye,Nilikuwa na mipango ya kuoa ila sio yeye.Ila baada ya mapenzi kunoga akshika ujauzito wangu.Nikamwambia sitaki watoto ila kama...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
"Jamani naitaji msaada mkubwa sana, wa mawazo na saikolojia. Mimi nina mke nimezaa nae. Tangu tufunge ndoa ni miaka 4 sasa.yeye yuko Mkoani mimi niko chuoni Dar es Salaam kimasomo elimu ya juu"...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Sifa -Umri 25-32 -Elimu kidato cha 4 na kuendelea -Ambaye hajawahi kuolewa (Km ana mtoto basi awe 1 tu) -Dini yyte Sifa zangu. -Umri 30s -Elimu chuo (Degree) -Nimejiajiri -Makazi Dar -Mkristo...
1 Reactions
0 Replies
581 Views
Waswahili wanasema kila masika na mbu wake !. Wanaume tulianza kusifia shingo kama twiga sasa hivi shingo ndefu zimebaki za kupigia chabo tu!... Tukahamia mguu wa bia! sasa hivi miguu yako...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Am Peter aged 23 am Looking for a good lady, please if u are serious contact me 0785005850
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Wadau, Maisha yangu toka mdogo yalikumbwa na migogoro ya kinafsi na kifamilia. muda mwingi sikua kwenye mahusiano mazuri na mama yangu mzazi. Sasa muda mwingi baada ya kuanza maisha ya...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Copy and pasted kama ilivyo............................. Kama wewe ni binti na una miaka 25 au zaidi na hujui kabisa nani atakuoa na hamna dalili, usichukulie poa. Lazima kutakuwa na shida...
13 Reactions
91 Replies
9K Views
Habari za majukumu ndugu zangu wa Tz. Moja kwa moja kwenye mada...... Mimi ni mwanaume wa miaka 31 dini yangu muislam nimeajiriwa serikalini nina mke na watoto wawili nyumbani Zanzibar. Nimeanza...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Nadhani kila mtu anajua namna "flirting" inavyoweza kurahisisha siku au hata maisha kwa ujumla. I'ts fun, relaxing, can turn a bad day into a good one and so so. Swali. . .utajisikiaje kumuona...
10 Reactions
415 Replies
27K Views
Mara nyingi wanaume tumekua tukijigamba na kujiona vidume kwa kutembea na wanawake wengi. Ukweli uliopo ni kwamba huu si ujanja bali ni kutojitambua thamani yako na kujirahisisha. Kila mwanamke...
17 Reactions
107 Replies
9K Views
Back
Top Bottom