bigboss1
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 319
- 196
Wasalaam wote,
Nilikaa nikawaza nikasema ni bora tujuzane kipi kuzuri chakumfanyia mpenzi wako aone raha .?
kwa maana sisi wanawake tunalazimika siku hizi kusema wanaume hawafurahishi wapenzi wao hasa kuwahakikisha wamefurahia mapenzii.
Wengi hujifurahisha wenyewe so leo mtuambie kinachowasibu mnalalamikiwa sana.
Kwa maana uzi ni nyingi nyie tu.
Karibuni kwa ushuda.