Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
Habari za jioni Great Thinkers.

Huu unaweza kuwa si wakati sahihi kwangu kuandika kuhusu jambo hili, ila kwa sababu ya tafsiri hasi miongoni mwetu sina budi kulizumgumzia.

Uhaba wa wanaume waoaji (Husband Scarcity) ni jambo ambalo limekuwa moja ya changamoto kwa dada zetu siku hizi.

Ukiende kwenye nyumba za ibada nyingi utawakuta wanawake wengi ambao lengo lao si kumcha muumba bali ni kutaka kuombewa ili wapate wenzi wao wa maisha.

Turejee enzi za mababu zetu, je kulikuwa na uhaba wa wanaume waoaji? Kama jibu ni hapana, unadhani kwamba enzi hizo wanaume walikuwa wengi kuliko wanawake au kulikuwa na uwiano sawa kati ya jinsia hizo mbili? Hapana

Nadhani enzi hizo wanawake walikuwa na thamani kubwa sana na walikuwa wameandaliwa kujenga familia zilizo bora nna maisha Mazuri na sio kutafuta familia zilizo na maisha bora ili waende huko.

Enzi za mababu zetu kijana akiwa na uwezo wa kujihudumia na kumhudumia mke, basi alianza kutafuta mwezi wa maisha na mwanamke ambae alimpata, mwanamke huyo ali mu appreciate kijana na kumsaidia kujenga maisha yao ya baadae.

Ninachojaribu kuzungumzia hapa ni kwamba dada zetu ndio wamesababisha hili tatizo la ukosefu wa wanaume waoaji.

Kwanini niseme dada zetu ndio wamejitengenezea hili tatizo?

Leo ukimuuliza mwanamke / Binti kwamba anamtaka mume wa ainagani? Atakuambia anataka mwanaume mbae:

- Awe handsome
- Awe na degree
- Awe mwajiliwa au mjasiliamali
- Awe presentable nam mengine kama hayo (tunayasikia humu kila siku)
- na Ili asionekane worldly anaongezea Awe mcha Mungu.

Utamsikia mwanadada anasema, “siwezi kuteseka kwetu pia nikateseke kwa mwanaume” what a wonderful dream?

Sikatai unaweza kuwa umetoka kwenye life bomba na ukaolewa na mtu amabe yuko vizuri na baadae kwenye ndoa the table turns around na shida zikaanza? Je Utakimbia?

Kwa mfano.- Ukiangalia idadi ya hawa dada zetu na sisi wanaume tunao wazunguka katika maeneo yetu ujumlishe ma vigezo vyao utagundua kuna tatizo na tatizo hili nikwamba vigezo ambavyo wadada wanavitaja utakuta wanaume wengi hawana.

Tuchukulie mfano kati wanawake 50 wanatoa vigezo ambavyo anayvyo mwanaume moja tu, sasa kama huyo mwanaume 1 mwenye vigezo akioa mwanamke moja kati ya 50 unadhani nini kitatoke kwa 49 walio baki?

Nisiseme mengi ila dada zetu naomba niwashaurini. Its beter to start small and end up big than starting big and end up small.

Kiuhalisia ni vigumu kumpata mwanaume ambae amefikisha muda wa kuo na anavigezo vyote unavyovitaka. Wapo wachache sana.

Jamani punguzene vigezo kwa sababu hivyo vigezo vinawafanya muruke mikojo na kikanyaga kinyesi, alafu mwisho wa siku mkiwa disaponted mnakuja na kamsemo kenu kuwa wanaume wote ndivyo walivyo

Njia Rahisi ya kupata mwenza wa maisha ama mume bora ni kubadilisha mtazamo wenu on who a husband is

A husband is not a poverty alleviation program jamani

Angalizo:

Sijawashauri mchukue mwanaume yeyote la hasha, si kila mwanaume ni husband material, jarubuni kuangalia what make him to be who he is na si vitu anavyomiliki ama muonekano wake.

Nawakilisha…

Mapovu Ruksa
 
Kama we ni mwanaume kuna kitu nimewaza juu yako
Sababu za kuandika hivi.
Kama umesoma vizuri utagundua kuwa mimi ni Mwanaume. Ni kitu gani umewaza juu yangu?
 
  • Thanks
Reactions: lup
- Awe handsome
- Awe na degree
- Awe mwajiliwa au mjasiliamali
- Awe presentable nam mengine kama hayo (tunayasikia humu kila siku)
- na Ili asionekane worldly anaongezea Awe mcha Mungu.
baada ya miaka miwili huwa vinapungua tena miwili mingine vinapungua tena miwili vinapungua zaidi hivi vigezo lets say alianza kuweka hii alivyokuwa ana 26 +2=28
28+2=30+2=32
ukimuuliza hapa atasema yoyote akitokea na hapa wale wasanii wa town wanapata chance ya kujidundia tu
 
32 anakuwa bado bado
 
Zama zileeee wanawake walikuwa wanaheshimika sana katika jamii na walikuwa wanaposwa nyumbani na wazazi wakiibariki ndoa.

Wanawake ni wengi kuliko wanaume tangu enzi.
Siku hizi ndoa ni chache na live together ndio wengi na utakuta hata ukweni hawakujui
 
Kuishi na mwanamke inataka uvumilivu wa hali ya juu sana. Maana wao wenyewe ukiwaweka wawili au zaidi ndani ya wiki tu utakuta wameshanuniana. Nlikuwa udsm mambibo hostel miaka ya 2003-2007 nlikuwa na rafiki yangu block B dem, siku nikaenda room kwake nikakuta kuna tv 2 redio 2 zote zimewashwa kwa sauti na kila mtu anaangalia ya kwake, mwenye redio anasikiliza kivyake. Nliusoma mchezo nikauelewa sikukaa nikasepa zangu. Hapo ndo nikagundua hawa binadam sio wenzetu
 
Habari za jioni Great Thinkers.

Huu unaweza kuwa si wakati sahihi kwangu kuandika kuhusu jambo hili, ila kwa sababu ya tafsiri hasi miongoni mwetu sina budi kulizumgumzia.

Uhaba wa wanaume waoaji (Husband Scarcity) ni jambo ambalo limekuwa moja ya changamoto kwa dada zetu siku hizi.

Ukiende kwenye nyumba za ibada nyingi utawakuta wanawake wengi ambao lengo lao si kumcha muumba bali ni kutaka kuombewa ili wapate wenzi wao wa maisha.

Turejee enzi za mababu zetu, je kulikuwa na uhaba wa wanaume waoaji? Kama jibu ni hapana, unadhani kwamba enzi hizo wanaume walikuwa wengi kuliko wanawake au kulikuwa na uwiano sawa kati ya jinsia hizo mbili? Hapana

Nadhani enzi hizo wanawake walikuwa na thamani kubwa sana na walikuwa wameandaliwa kujenga familia zilizo bora nna maisha Mazuri na sio kutafuta familia zilizo na maisha bora ili waende huko.

Enzi za mababu zetu kijana akiwa na uwezo wa kujihudumia na kumhudumia mke, basi alianza kutafuta mwezi wa maisha na mwanamke ambae alimpata, mwanamke huyo ali mu appreciate kijana na kumsaidia kujenga maisha yao ya baadae.

Ninachojaribu kuzungumzia hapa ni kwamba dada zetu ndio wamesababisha hili tatizo la ukosefu wa wanaume waoaji.

Kwanini niseme dada zetu ndio wamejitengenezea hili tatizo?

Leo ukimuuliza mwanamke / Binti kwamba anamtaka mume wa ainagani? Atakuambia anataka mwanaume mbae:

- Awe handsome
- Awe na degree
- Awe mwajiliwa au mjasiliamali
- Awe presentable nam mengine kama hayo (tunayasikia humu kila siku)
- na Ili asionekane worldly anaongezea Awe mcha Mungu.

Utamsikia mwanadada anasema, “siwezi kuteseka kwetu pia nikateseke kwa mwanaume” what a wonderful dream?

Sikatai unaweza kuwa umetoka kwenye life bomba na ukaolewa na mtu amabe yuko vizuri na baadae kwenye ndoa the table turns around na shida zikaanza? Je Utakimbia?

Kwa mfano.- Ukiangalia idadi ya hawa dada zetu na sisi wanaume tunao wazunguka katika maeneo yetu ujumlishe ma vigezo vyao utagundua kuna tatizo na tatizo hili nikwamba vigezo ambavyo wadada wanavitaja utakuta wanaume wengi hawana.

Tuchukulie mfano kati wanawake 50 wanatoa vigezo ambavyo anayvyo mwanaume moja tu, sasa kama huyo mwanaume 1 mwenye vigezo akioa mwanamke moja kati ya 50 unadhani nini kitatoke kwa 49 walio baki?

Nisiseme mengi ila dada zetu naomba niwashaurini. Its beter to start small and end up big than starting big and end up small.

Kiuhalisia ni vigumu kumpata mwanaume ambae amefikisha muda wa kuo na anavigezo vyote unavyovitaka. Wapo wachache sana.

Jamani punguzene vigezo kwa sababu hivyo vigezo vinawafanya muruke mikojo na kikanyaga kinyesi, alafu mwisho wa siku mkiwa disaponted mnakuja na kamsemo kenu kuwa wanaume wote ndivyo walivyo

Njia Rahisi ya kupata mwenza wa maisha ama mume bora ni kubadilisha mtazamo wenu on who a husband is

A husband is not a poverty alleviation program jamani

Angalizo:

Sijawashauri mchukue mwanaume yeyote la hasha, si kila mwanaume ni husband material, jarubuni kuangalia what make him to be who he is na si vitu anavyomiliki ama muonekano wake.

Nawakilisha…

Mapovu Ruksa
20180203_190611.png

Wanaume hatutaki hawa watu, ebu wacheki.

Mwanamke mwambie haya maneno, ila hilo la mwisho atakula kona.
Bu the way, haya sio maneno yangu.

You are the BODMAS of my eye, when you touch my heart you become my syllabus, Iam mathematically calculated, geographically located, historically remembered, biologically functioning, chemically reacting, physically fit BUT dont forget one thing , IAM ECONOMICALLY BUDGETED.
 
Kuishi na mwanamke inataka uvumilivu wa hali ya juu sana. Maana wao wenyewe ukiwaweka wawili au zaidi ndani ya wiki tu utakuta wameshanuniana. Nlikuwa udsm mambibo hostel miaka ya 2003-2007 nlikuwa na rafiki yangu block B dem, siku nikaenda room kwake nikakuta kuna tv 2 redio 2 zote zimewashwa kwa sauti na kila mtu anaangalia ya kwake, mwenye redio anasikiliza kivyake. Nliusoma mchezo nikauelewa sikukaa nikasepa zangu. Hapo ndo nikagundua hawa binadam sio wenzetu
Very True ya nini Uoe bhaana tutumbue Ujana Fresh
 
Kuishi na mwanamke inataka uvumilivu wa hali ya juu sana. Maana wao wenyewe ukiwaweka wawili au zaidi ndani ya wiki tu utakuta wameshanuniana. Nlikuwa udsm mambibo hostel miaka ya 2003-2007 nlikuwa na rafiki yangu block B dem, siku nikaenda room kwake nikakuta kuna tv 2 redio 2 zote zimewashwa kwa sauti na kila mtu anaangalia ya kwake, mwenye redio anasikiliza kivyake. Nliusoma mchezo nikauelewa sikukaa nikasepa zangu. Hapo ndo nikagundua hawa binadam sio wenzetu
Funadamental law of charge.

Like charge........
Unlike charge.......

Hapo utagundua ulichokikuta mkuu
 
Inafikia hatua wanawapa hata wachungaji kazi ngumu ya kuwaombea,kama Leo unaombewa ili upate mwanaume Wa maisha yeye akijibiwa maombi anachambua mpaka bac,kwa mtindo huo ni kwanini asizekee kwao?
 
Back
Top Bottom