Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Kwa kawaida, pale inapotokea unajisikia mpweke na unahitaji mtu wa kukupa company na faraja ili urejee katika hali ya kawaida utashangaa hakuna huo msaada na kila unayejaribu kumsogelea anakuwa anakuona kwa sura ya kero au mtu asiye na muda wa kuwa na wewe.
Ila mara pale unapoamua kuwa mtu wa kumind ratiba zako then utashangaa kila mtu anataka kuja kukaa na wewe na kutumia muda na wewe.
Sasa swali ni huwa sisi binadamu akili gani katika kufikiria na kufanya maamuzi. Mimi kwa upande wangu huwa kama ikatokea nikanotice mtu yupo very down na depressed anahitaji ni share naye muda wangu huwa nakuwa so concerned kwa kumpa muda anaohitaji na kuwa nae karibu.
Siwezi mpiga chenga za mwili wala kumuavoid. Kama sitaweza kaa nae basi nitatumia muda wa simu kuzungumza nae na kumsikiliza anajisikiaje na kumpa ushauri ili akae sawa, coz naelewa adha ya kuwa mpweke na kuwa depressed.
But cha ajabu hata yule niliyempa huo muda na mimi nikiwa katika hali ya upweke na kuwa depressed nae nilipomfuata akaniona mimi ni tatizo au kero, si m'moja bali wengi.
Kwa muktadha huo nikajifunza jambo la kwamba ubinadamu ni kazi sana. Na inaonyesha wenye uwezo wa kujitoa katika hiyo hali tu wachache sana.
Hii inapelekea kuona haina muhimu kuwa available kwa watu but yet siwezi kuacha kujali hisia za wengine na hainigharimu kitu isipokuwa nasikitika tu ni kwanini watu hawana hulka ya kujali wengine na kuwaonyesha upendo wa dhati pale wanapokuwa na uhitaji hadi pale wanaona wao inawapa faida fulani? Hii kitu inanikwaza sana sijajua ni kwanini but naona ni watu wanafanya kusudi sana.