Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu. ni hivi.... 95/% ya watumiaji wa JF wana elimu ya juu na maisha safi na kumiliki Nyumba na gari/magari na ni waajiriwa ktk wizara flani...
16 Reactions
177 Replies
11K Views
Wadau kuna jambo hapa, Hivi ni sawa kuwa na mazoea na shemeji yako? Mke wa kaka yako au mdogo wake mke/mchumba? Mazoea ya kwaida tu haimaanishi mazoea mengine, ila kuchati kushirikishana jambo...
2 Reactions
72 Replies
12K Views
Habari zenu, Majuzi nilieleza kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, na kwakweli niliwekwa kikaangoni na kumjibu kila mmoja kwa umakini, hadi thread ikafika page ya 9 bila tusi lolote, bali yalikuwa...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF, Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii...
24 Reactions
435 Replies
51K Views
Hasa weekends, unamkuta mkaka yuko mbele yako, akijnunua mafuta kama kuna kitu anatakiwa kutoa ndani ya gari akitoka nje unakuta amevaa pyajama. Una haraka ya kwenda wapi mpaka utoke nje ya...
7 Reactions
52 Replies
6K Views
Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii.... Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke...
15 Reactions
111 Replies
8K Views
On my bed sina usingizi,najaribu kumkumbuka mpenzi wangu WA kwanza.nakumbuka first kiss.it was so good..nilikua kijana mdogo like 17..kijitonyama mida ya jioni,namsindikiza my girlfriend,kafika...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Mke wangu nguo anazo nyingi tu lakini hazivai. Yeye anavaa nguo zilizo chakaa tu. Mpaka anakosa mvuto. Ananifanya nichepuke sana. Ukimwambia ni mbishi mno.
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Today on World Marriage Day it's good to read a post on Facebook by Michelle Barrack Obama every couple should read... HARDCORE TRUTH ABOUT MARRIAGE! 1. There is nothing that threatens the...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako. Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na...
18 Reactions
159 Replies
15K Views
Naomba msaada wenu ndugu zangu. Kwa uzoefu wenu wazazi wenzangu ni umri gani sahihi wa kumtenga mtoto alale peke yake maana nakwama kufanya mambo ya msingi kwa ufanisi. Mikikimikiki kidogo tu...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Wadau habari za wakati huu? Naomba ushauri kuna jambo linanitatiza. Miaka kadhaa iliyopita nilipanga nyumba moja hivi hapa mjini, mwenye nyumba ile alikuwa ni rika langu na mkewe pia yaani...
2 Reactions
55 Replies
10K Views
Wana jamvi habar zenu. Kuna dem nilikuwa nae miaka zaidi ya mitano ss juz nilimuacha kwakuwa nilikuta hirizi katka mkoba wake baada ya kumpekua alivyoeda kuoga. Sasa akaniandikia meseji kuwa...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakati tunamalizia malizia siku ya wanawake duniani napenda kuwapongeza wanawake wote kwa jinsi wanavyopambana kwa namna yoyote ile ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha ndugu zao, watoto wao au...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi wana JF bila shaka mko poa na wazima wa afya njema!!! Naombeni mawazo yenu! Mke wangu hazingatii muda wa kurudi nyumbani nifanyeje?????
2 Reactions
87 Replies
10K Views
Jaman wanaume wanene mtanisamehe kwakweli, Ila kusema ukweli nikiambiwa nichague mzee mwenye miaka kuanzia 60-70 na kijana mnene yoyote kuanziaa miaka 30 na kuendeleaa bora ni chague mzeee,why...
10 Reactions
238 Replies
19K Views
I'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
6 Reactions
232 Replies
18K Views
hi wana jf naomben ushaur wenu... Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku...
1 Reactions
89 Replies
6K Views
Back
Top Bottom