Busu lako la kwanza lilikuaje??

Busu lako la kwanza lilikuaje??

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,900
On my bed sina usingizi,najaribu kumkumbuka mpenzi wangu WA kwanza.nakumbuka first kiss.it was so good..nilikua kijana mdogo like 17..kijitonyama mida ya jioni,namsindikiza my girlfriend,kafika kwao akaniomba aniage na busu,slowly kanikiss mdomoni..nusu nipagawe and sikutaka kuondoka..hah bado nakumbuka..share experience yako..ilikuaje??
 
Ni kawaida sana.

Mimi mwenyewe huwa inatokea naviwazaga VICHUMBA vyangu nilipokuwa naanza anza majamboz.

Jamani
 
Japo haukuwa best love of m ila siwez kukusahau shakira we ndo my first love na kiss la kwanza nililipata kutoka kwako unexpectedly wakati nakusindikiza nikisikia tayar tunegandana midomo nilihisi kama kuchanganyikiwa Ile raha ilikuwa haielezeki japo nilikuwa mshamba wa mapenzi siku hizi sienjoy tena mambo ya kiss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom