Mke wa kaka yake mke wakoWadau kuna jambo hapa, hivi ni sawa kuwa na mazoea na shemeji yako!? Mke wa kaka yake au mdogo wake mke/mchumba!!!? Mazoea ya kwaida tu haimaanishi mazoea mengine, ila kuchati kushirikishana jambo la kimaisha pia kimaendeleo... Ni sawa?