Chupi imeleta kizaazaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chupi imeleta kizaazaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Washawasha, Nov 8, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Habari zenu wana JF,

  Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.

  Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.

  Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.

  Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.

  Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.

  Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu.

  Nalog off
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Dah! Kwa nini uliishika chupi yake?
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mkuu ile chu pi alianguka katika yale maji yaliyokuwa yakitiririka nilipokuwa nikioga,nikaona sio ustaarabu kuiacha katika maji yale.Nalog off
   
 4. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  ulikua unaisuuza cyo?!
   
 5. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Acha utungaji weye! Au na wewe ni mtunzi wa novel, mkuu.
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Ndio popobawa nillikuwa nikiisuuza.Nalog off
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Washawasha,
  Mbona huaminiki kiasi hicho mzee?
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  hajiamini kuwa yuko peke yake hilo ndio tatizo.Nalog off
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa nini hakuamini kiasi hicho?
   
 10. M

  Munira Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Duh,pole!
  wakt mwingne ucshke chup ya m,ke asie wako.
  Ongea 2 namkeo bla shaka atakuelewa ni wivu 2 unamsumbua.
  bembeleza kaka.
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kwasababu ya uhandsome wangu,yaani kabla ya kumuoa kuna ishu ilitokea basi yeye akivuta hiyo picha ndio ananifanyia hivi.Nalog off
   
 13. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Pole sana mzee wa kulog off kwa yalokukuta!
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  sawa nimebembeleza lakini kasema anakwenda kwao kwanza hataki kunisikiliza.Nalog off
   
 15. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Akilii haifanyi kazi yaani nimedata.Nalog off
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
 17. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Subiri yakukute ndio utajua ya kuwa popo ni ndege au mnyama.Nalog off
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mmhh-kweli kisa chenyewe kilivyo ukijumlisha na wasiwasi wa mkeo-lazima jibu la mkeo liwe 100%
   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Umesuuza na yy kakulog off!! pole.
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimecheka sana hapa.maana mpangaj mwenzangu ni bachela nae akifua kuful zake huzianika nje,mvua ikinyesha na acpokuwepo huwa napata wakat mgumu sana!NIMUANULIE?au niziache?
   
Loading...