Baada ya kuwajibu kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, sasa natanganza kuwa natafuta Mke mtu mzima

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
1,027
1,234
Habari zenu,

Majuzi nilieleza kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, na kwakweli niliwekwa kikaangoni na kumjibu kila mmoja kwa umakini, hadi thread ikafika page ya 9 bila tusi lolote, bali yalikuwa ni malumbano ya hoja, nikitetea uamuzi wangu na kuzifutilia mbali tafsri potofu za kijamii dhidi ya wapenzi wanaozidiana umri, na kutetea haki ya kijana wa umri mdogo kuwa na mpenzi mtu mzima, na kwakweli, hatimae, nikaeleweka..

Sasa, rasmi, natangaza kwamba NATAFUTA MWANAMKE ANAYENIZIDI UMRI AWE MKE WANGU. Sitarajii maswali yale yale yaliyoulizwa kwenye uzi ule yajirudie hapa, itakuwa ni kutokustraabika na kujitoa akili kwa kiwango cha juu mno, nakaribisha maoni na changamoto mpya.

Wewe dada wa makamo, umri kuanzia miaka 31 hadi 40, kama uko hapa au utaambiwa, mimi ni kijana wa miaka 30, na ni ndoto yangu kuoa Mwanamke anayenizidi umri. Nakuomba usogee PM tuongee. Naahidi kukupenda na kukulinda, kwa moyo wangu wote, kwa afya au magonjwa...hadi kifo.

Asanteni.
 
*Mod kwenye title, naomba edit: "natanganza" iwe "natangaza". Thanks

JAMANI HIZI NAMNA NYINGI ZA KULEGEZA VYUMA HAZIFAI
 
kupenda watu wa Zima ni dhana ya "Superiority". Vijana wadogo siku hizi hujihisi kuheshimika wanapokuwa "wanaume" wa wakubwa zao. Hali hii imeshika kasi sana na ndio maana unakuta vijana shuleni/vyuoni wanapenda kuwatongoza walimu wao ili wavimbe vichwa!
Mkuu usipotoshe kabisa....swali lako na mengine yanayofanana na hayo yalijajibiwa kwenye: Nawapenda wanawake watu wazima"....rejea huo uzi otherwise uko hapa kuspam.
 
*Mod kwenye title, naomba edit: "natanganza" iwe "natangaza". Thanks

Habari zenu,

Majuzi nilieleza kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, na kwakweli niliwekwa kikaangoni na kumjibu kila mmoja kwa umakini, hadi thread ikafika page ya 9 bila tusi lolote, bali yalikuwa ni malumbano ya hoja, nikitetea uamuzi wangu na kuzifutilia mbali tafsri potofu za kijamii dhidi ya wapenzi wanaozidiana umri, na kutetea haki ya kijana wa umri mdogo kuwa na mpenzi mtu mzima, na kwakweli, hatimae, nikaeleweka..

Sasa, rasmi, natangaza kwamba NATAFUTA MWANAMKE ANAYENIZIDI UMRI AWE MKE WANGU. Sitarajii maswali yale yale yaliyoulizwa kwenye uzi ule yajirudie hapa, itakuwa ni kutokustraabika na kujitoa akili kwa kiwango cha juu mno, nakaribisha maoni na changamoto mpya.

Wewe dada wa makamo, umri kuanzia miaka 31 hadi 40, kama uko hapa au utaambiwa, mimi ni kijana wa miaka 30, na ni ndoto yangu kuoa Mwanamke anayenizidi umri. Nakuomba usogee PM tuongee. Naahidi kukupenda na kukulinda, kwa moyo wangu wote, kwa afya au magonjwa...hadi kifo.

Asanteni.
Uwe tayari kulea na watoto wake.
 
NDO MAANA YAKE NAKWAMBIA VYUMA VIMEKAZA, KUFANYA KAZI SIO KULEGEA NA KUCHUKUA ADVANCE SALARY INA MAANA KWAMBA YA MWEZI ULIOPITA IMESHAISHA, USIJALI NI KAWAIDA!
Nimeona wewe ni mtu wa majungu. Kwaheri na upambane na hali yako. Au wacha nibonyeze kitufe pendwa kabisa cha "Report"
 
473270.jpg

Ni wewe huyo kwenye avatar yako?
Ndio
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom