Mwatulole
Member
- Oct 16, 2017
- 55
- 194
Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.
Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.
Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.