Tabia hii ya wanaume kwenda petrol station asubuhi na pyajama ni sahihi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
Hasa weekends, unamkuta mkaka yuko mbele yako, akijnunua mafuta kama kuna kitu anatakiwa kutoa ndani ya gari akitoka nje unakuta amevaa pyajama.

Una haraka ya kwenda wapi mpaka utoke nje ya nyumba na pyajama? Hasa wale wa matawi, Huku kwetu Kwamtogole hatuna tabia hizi.

Ukipata dini unatakiwa kwa mkweo haraka kweli its kwenda umevaa pyajama?
 
Mie majirani walinipeleka kwa mjumbe kutokana na kutoka nje asubui napiga mswaki huku nimefunga taulo na kitambi nje

Kumbe zile 9 pack zangu zilikuwa zinawachengua wake za watu...kwa kwa kwa
wanaume wa dar bwana tunapiga gooo moja halafu tunaenda kuangalia muvi
 
Samahani dada sky.
Kwani umeenda sheli kuangalia nani kavaa nini??
Fanya kilichokupeleka ukimaliza endelea na muzunguko yako ya kujenga uchumi wa viwanda..
Haya mambo ya kuchunguzana nani kavaa nini au nani kala nini wakati hujamnunulia kitu sio vizuri..

Kwa mfano akikwambi hana nguo nyingine utamnunulia???
 
Back
Top Bottom