Nikiambiwa nichague kati ya mwanaume mzee wa miaka 70 na kijana mnene nachagua mzee

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,215
2,958
Jaman wanaume wanene mtanisamehe kwakweli,
Ila kusema ukweli nikiambiwa nichague mzee mwenye miaka kuanzia 60-70 na kijana mnene yoyote kuanziaa miaka 30 na kuendeleaa bora ni chague mzeee,why
-wazee wanajuaa mapenzi yaan wanajuaa msichana anataka nini na kwa wakati gani
-wazee wanajuaa shughuli yaan asikwambiee mtu wazee kwenye 6×6 lazima urudishe change yaan wanajua yaan hawanaga mzaaa
3-hawanaga mambo mengi ni watu wanaojitambuaa na hawanaga blah blaah

Kwa upande wa wanaume wanene najuaa mtabishaa lakin ukweli mnaujuaa....mapungufu yenu ni haya
-wavivu kitandani yaaa nikisema wavivu namaanisha wavivu.
-asilimiaa kubwa ya wanaume wanene ni wachafu tena saana na ukizingatiaa na miili yao wasipokuwa na utaratibu wa kuoga mara tatu kwa siku hutaweza kukaa naye lisaa yaan ni balaa,
-wengi ni vibamiaa alafu vibamia vyao vinatofautiana,vingine vinene na vingine vyembamba alafu havina nguvu hilo halina ubishi yaan wakati mna DO inabid mtu utumiee nguvu ya ziada mpaka muenjoy penzi manake ni balaa unaweza ukajifanya mtundu uka m su**k dudu before hamja sex jaman akimaliza pale kujaa kuendeleaa tena ni baada ya masaa 6 kwakweli watu wanene mnachosha sema wengine wanawavumiliaa tu kwa sababu mnawapa elaa

Ushauri wangu,jaman fanyeni mazoezi,kuweni na mipangilio i mean ratiba nzuri za chakulaa,kuweni wasafi hata kama upo busy kiasi gani make sure unaogaa mara mbili kama ya tatu hutawezaa na piaa msiache kuchange nguo za ndani kuepukana na magonjwa ya ngozi esp cancer pembezoni mwa mapaja!

Leo ntatukanwaje............usiku mwema!!!
 
mbona ni 'nature' wanawake kuprefer mwanaume mwenye umri mkubwa kushinda wao...
Sio wote my dear vijana wana utamu wake ila wasiwe wanene .....kuwa kwenye mahusiano na mtu mnene kwakweli it sucks bt mtu mzima anayejielewaa hakika utaenjoy mapenzi
 
Sio wote my dear vijana wana utamu wake ila wasiwe wanene .....kuwa kwenye mahusiano na mtu mnene kwakweli it sucks bt mtu mzima anayejielewaa hakika utaenjoy mapenzi

sio wote mkuu ila wengi ni hivyo,ukipata muda cheki women mate selection/preferences....age ni kitu kimojawapo...
 
H
Mimi ni mnene lkn ukija kwangu, muziki wake utausimulia. Mke nilienae huwa anatamani arudi kwao lkn sasa haiwezekani maana keshazaa watoto wawili. Muziki uliopo hapa ni wa Kibabe.
hata huyo nilyekutanaga naye alisemaga kama ww yaan siku ya kuonana utaombaa pooooo, na alikuwa mume wa mtu jaman kuingiaa chumbani nimeanza mambo yangu ile naweka kitu naanza kulamba tu haoooooooo wazungu na biasharaa ikaishiaaa hapo hapo haikusimama tena ...akajidai mara jana tulikesha na wife dats y nimeshindwa kuperfom mara sikujipanga while yeye ndo aliyepanga yaan nilimdharauje
 
Povu langu! Usiforce Dunia nzima tuwe wembamba. Chagua unayemtaka usiyemtaka achana naye.. Nyie wadada ndo mnafanya maisha yanakuwa mabaya watu wanakosa amani kustressishana.
Fanyeni mazoezi muwe wepesi na mashine zifanye kazi vizuri khaaa mzunguko wa damu ndo unafanyaa dudu inakuwa strong 24/7 so zingatieni mazoezi
 
Hahaha bila shaka utakuwa bonge hebu pambana na hali yako uniachee .....ikikuumaa chomoaaa
Mambembe,
Tusiseme ya hao wengine unajua ukweli Fulani kuhusu watu wazima sio wazee, ukisema wazee ni 80+ nitafutie kimoja kwa somo ulilonalo Nina kilo 85 tu!
 
Back
Top Bottom