Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
209.9K
Threads
7.5K
Posts
209.9K

JF Prefixes:

Ulizaliwa ukakuta baba yako anawake zaidi ya mmoja au umekua umeona kwenye familia yenu Kuna mtoto wa mama mwingine zaidi ya mama ako, tena maisha yalikuwa simple tuu hakuna simu wala shopping...
5 Reactions
154 Replies
12K Views
Ukitaka kujua yanayofanyika mle ndani unaweza kunywa sumu kama una wivu tuanze na barber shop after kunyolewa kuna chumba maalum kwa ajili ya kuoshwa sasa kuna mabinti hujichetua kaka hufanyi...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Yaani kuna mdada kanitumia meseji juzi anataka ushauri nimebaki nimeduwaa sina la kusema kabisa. Ninachoweza kusema ni kuwa sasa nina uhakika wa ule msemo wa wahenga kuwa Kupenda Upofu. Hebu na...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
Kijana huyo na mke wake pamoja na mtoto wao wa miezi 9 walifika Dar es salaam kwa jili ya kutafuta maisha. Baada ya kufika Dar es salaam walikaa gesti kwa siku kadhaa, na baadae waliamua kutafuta...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Mjukuu wangu, sasa naona umekua mtu mzima. Kuna mambo ya muhimu kutambua. Unajua kuna mabadiriko mengi ktk mwili wako, kwa muonekano na mengine sio kwa muonekano wa nje. Kuna kitu nimewahi kusikia...
3 Reactions
13 Replies
6K Views
Mwanaume mwenzangu utafanya nini utakapogundua ya kwamba mpenzi/mchumba/mke wako alikuwa anakuficha halipwi mshahara wala marupurupu yoyote? Nikielezea vizuri hapa ni hivi kua mwanaume mwenzangu...
7 Reactions
285 Replies
16K Views
Nimeamua kutoa ushauri wangu kwa wanaume wenzangu juu ya namna ya kujiongezea ufahamu juu ya mambo mbalimbali ya ulimwengu na walimwengu, hasa wale viumbe tata waitwao wanawake. Mwenzenu...
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Salam, Jamani naombeni mnisaidie, Nipo kwenye ndoa ya miaka miwili na nampenda sana mume wangu, sasa si zamani wifi yangu mdogo alinihadithia love story ya mume wangu aliyodumu nayo miaka hadi...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
#Aisee_nimekuja_kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi Hasa ka reyvanny Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti "kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi. Sasa wewe...
7 Reactions
140 Replies
14K Views
Hapo ulipo unafikiria nini au unamfikiria nani? Unawaza kufanya nini? Ungependa kusikia nini moyo wako usuuzike, ufurahi! Mimi ningependa niwe sehemu nzuri na mtu ninayempenda, sehemu iliyotulia...
7 Reactions
139 Replies
15K Views
  • Redirect
Nimekuwa naona mada nyingi kuwahusu hawa ndugu zetu wa Dar, niliamua kufanya utafiti binafsi kutoka vyanzo mbalimbali na sasa ninatoa machache huku nikiendelea kukamilisha utafiti kwa mambo hasa...
0 Reactions
Replies
Views
....Amini maneno yangu,ebu jaribu kuwazia kipindi mnaanzisha uhusiano na mpenzi wako,mara ya kwanza huwa inacost saana,ghrama sio ktk matumizi ya hela au muda,vitu kama kujenga uaminifu baina...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini, Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi...
8 Reactions
132 Replies
11K Views
Fellow gentlemen, last month Nilifukuza bibi yangu on infidelity grounds, mwezi July nilipata bibi yangu akiwa na boxers mupya ziko in a special pack kwa bag yake, nilifikiria ya kwamba ni mm...
6 Reactions
94 Replies
8K Views
...NAKUMBUKA... Psalm 37:25 “I was young and now I am old, yet I have never seen the righteous forsaken or their children begging bread.” …IDM Mzumbe… Nakumbuka enzi za Mwalimu! Wakati huo...
25 Reactions
59 Replies
5K Views
Au mnatafuta vidumu fungukeni tuwaelewe.
0 Reactions
215 Replies
16K Views
Jamani nisaidieni, Huyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia, nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu sana kwangu na mpiganaji...
5 Reactions
81 Replies
11K Views
Kumekuwa na trend ya wanaume kulalamika kuwa wanaawake wanapenda pesa au wanaoomba sana pesa,mimi naona wako sahihi!! Maisha yale ya kuvumilia mme/mchumba akiwa hana kitu kwa kigezo cha upendo...
26 Reactions
290 Replies
22K Views
Huu utandawazi umeharibu sana vijana maana kiukweli asilimia nyingi yao wamekua wakipenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile unapata mpenzi mkiwa faragha anahangaika wewe Ili mradi tuu...
15 Reactions
50 Replies
6K Views
Back
Top Bottom