Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WanaJF, Disclaimer: Naomba kwa mwenye kutoa ushauri asiegemee upande wowote* Mimi ni moja kati ya vijana waliooa wakiwa na umri mdogo. Nilikuwa nina miaka 21 (now I'm 23) tu na ni kwasababu ya...
12 Reactions
238 Replies
34K Views
Naomba kuuliza hili swali wapendwa hivi baadhi ya wanaume huwa wanajua maana ya hili neno hususani kwenye kipengele cha sita sita? Manake unakuta mtu anasema anahitaji only one night stand with...
19 Reactions
365 Replies
39K Views
Kwa jiji la Dar hali hii niyafaraja sana kwa watu wenye vyungu vya kukumbatia, lakini pia ni ngum kwa watu kama mimi ambao vyungu vyetu vimetokomea bila sababu za msingi. Muniombee niko katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HII NI KWA WALE TULIOZALIWA MIAKA YA 1980s Mwaka Umri 1980 38 1981 37 1982 36 1983 35 1984 34 1985 33 1986...
16 Reactions
314 Replies
17K Views
Nimeichunguza sana na kugundua kuwa ni kweli 98% kwamba Wale Wasimamizi wa Maharusi yule wa Bwana na Bibi Harusi hupata urahisi sana kutembea ( kufanya Mapenzi ) na mmoja wapo wa Wanandoa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
MABINTI KATIKA DILEMMA YA NDOA. Zama hizi hitajio la ndoa limekuwa ni kubwa zaidi, lakini jambo la kusikitisha ni kuwa ndoa zimekuwa ngumu sana. Na mabinti wamebaki njia panda (Dillema)...
12 Reactions
201 Replies
15K Views
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku. Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka...
13 Reactions
99 Replies
10K Views
Habari zenu wadau, Niende kwenye mada nina mpenzi wangu ambae sasa tunaenda takribani miaka miwili na kitu, ninampenda na nimewekeza mapenzi yangu yote kwake na yeye ameonyesha kuwa ananipenda...
3 Reactions
142 Replies
11K Views
Hilo swali ndio linatutatiza wengi, karibuni tu share ideas, njia zipi za kupata mpenzi bora? Girlfriend, boyfriend. Je unaweza ku make love na mtu uliekutana nae mtandaoni kama Fb or JF na...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Jopo la wanasayansi kutoka katika chuo kimoja nchini Marekani wametoa majibu ya kustaajabisha juu ya utafiti wao mdogo walioufanya hivi karibuni juu ya kujichua. Wanasayansi hao waliamua kufanya...
2 Reactions
104 Replies
38K Views
Jamani nisaidieni, Naona mimi ni mshamba, inaniwia vigumu kushare mswaki na mpenzi wangu licha ya kuwa denda kwangu sio kazi lakini mswaki mh!.
1 Reactions
280 Replies
24K Views
Ni takribani mwezi umepita tangu dada mmoja mwenye miaka 25 ahamie hapa pamoja na rafiki yake wanaishi wote mwenye miaka (34) wote ni wahitimu wa chuo fulani cha fedha hapa mjini katika ngazi ya...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Mpenzi wangu anapenda sana kuniomba sana pesa kila siku ata kama ni ndogo ndogo lakini inakera kila siku mala elfu 5000 mala 2000 sasa jana kaniomba nikavunja ukimya nikamwambia wewe kila siku...
7 Reactions
87 Replies
11K Views
Naomben mawazo yenu kidogo hapa Ninamchumba ambae tumemaliza process zote bado ndoa tu ambapo tumepanga tufunge mwez wa 7 Mi nawaza nitaishije na huyu mtu? Mimi ninakipharmacy kidogo mtaji wa 1m...
13 Reactions
166 Replies
15K Views
love with anyone': Set One 1. Given the choice of anyone in the world, whom would you want as a dinner guest? 2. Would you like to be famous? In what way? 3. Before making a telephone...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Each day that goes by, more and more men are becoming dependent of the internet. They either approach women through one of the social media websites, or even worse, they settle for watching porn...
9 Reactions
81 Replies
8K Views
Jamani,kwa wenye uzoefu au uelewa,vitovu vikubwa kwenye mahusiano huongeza hamasa au hupunguza? hii nikwa wote,men and women
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu ni dada binamu tumekua kua naye miaka ya nyumanmpaka sasa imetokea tena tumeajiriwa ofisi moja. Actually alikuja kwa uwezo wake wala mimi sihusiki, namfahamu she is bright an pretty sasa kama...
3 Reactions
61 Replies
9K Views
Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu. ni hivi.... 95/% ya watumiaji wa JF wana elimu ya juu na maisha safi na kumiliki Nyumba na gari/magari na ni waajiriwa ktk wizara flani...
16 Reactions
177 Replies
11K Views
Wadau kuna jambo hapa, Hivi ni sawa kuwa na mazoea na shemeji yako? Mke wa kaka yako au mdogo wake mke/mchumba? Mazoea ya kwaida tu haimaanishi mazoea mengine, ila kuchati kushirikishana jambo...
2 Reactions
72 Replies
12K Views
Back
Top Bottom