Eli24
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 164
- 365
Wakati tunamalizia malizia siku ya wanawake duniani napenda kuwapongeza wanawake wote kwa jinsi wanavyopambana kwa namna yoyote ile ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha ndugu zao, watoto wao au familia zao wanapata mahitaji yao.
Jambo moja for sure nataka kulileta kwenu, mwanamke akipenda anapenda kweli kweli jamani na mwanamke akisema it’s over na watu waliokuwa kichwa. mpaka wakakubali ndugu yangu hapo ujue hata kuja kukupenda tena au the same way she used to love u.
Moyo wa mwanamke ni kweli umeumbwa kupenda na kweli wanapenda jamani na mwanamke akiamua kucheat kwenye mapenzi kweli imefikia level of extremity where she can’t take it anymore maana yeye akienda huko amepeleka kila kitu moyo, akili, roho na mwili.
Tofauti sana na sisi wanaume maana sisi tunaweza cheat kwa nyege zetu tu tukapiga goli moja au mbili fresh kabisa na kurudi zetu kwa wake zetu kimya kimya na upendo ukawa pale pale ila kwa mwanamke akiumia moyoni kweli kucheat aisee ataingia mwili mzima hata viatu haachi nje hapo ujue ameshaondokaa moja kwa moja hata kama ulikuwa na liboro kubwa kabisa bado halitamfanya arudi nyuma.
Guys let be careful with our woman, they deserve respect, honor, love , care and passion, strength of woman#hii ni kwa wanawake wa chache wanaotambua mapenz ya kwel na sio pesa au muonekano wa mtu#