Habari za siku nyingi enyi walipa kodi wenzangu?
Kuna issue nimekua naifanyia observation kwa muda mrefu sana lakini sipati majibu, kuna hii tabia ya wanawake hasa hawa wa hapa kwetu Tanzania...
Asalaam Alaykum Wakubwa natumai nimeitikiwa,mimi ni kijana wa miaka 30 na mzaliwa wa hapa jijini DSM hivyo ninalijua hili jiji vilivyo sio kwa geografia bali kwa vituko na majamboz yake.Ni kwamba...
1. Mtumiaji
Kuna aina ya wanawake ambao wanakuona wewe kama mwanamume mzuri ili wakutumie kama chambo kuwafanikisha kimaisha. Unaweza kuwa mwanamume ambaye unauunganishi na watu wengi, ama...
Habarini ndugu zangu katika ukweli amani ya bwana iwe pamoja nanyi,
Twende kwenye mada moja kwa moja;
Mimi ni (Ke), nina mchumba wangu tupo mwaka wa 3 sasa, hivi karibuni tunatarajia kuingia...
Nimetoka kuulizwa muda si mrefu hilo swali na mdada/ mmama wa Kimalawi.
Nilikuwa nimeenda kula lanchi sehemu ndo nikakutana naye huko.
Katika kupiga naye stori akaniuliza ninapotoka ndo...
Salaam wanaMMU
Huyu mwanamke anataka kunifanya mi bwege,miaka ya nyuma mawasiliano yetu yalikua mazuri haipiti Siku au masaa kadhaa pasipo kuwasiliana
Baada ya kuzaa nae mtoto na yeye kupata...
Mbinu hii inafanya kazi kwa asilimia 85% at ceteris peribus.Naposema maeneo ya jumuiya namaanisha vyuoni ,kazini,au hata kwenye semina za muda mrefu mnapoonana mara kwa mara .
Tujage...
She Doesn’t Call You Back!!!
Things sure have changed, man.
Back in the day, there weren’t any “dating games”.
Dating was simple and straightforward.
A man saw a woman he found attractive...
Wakuu,
Naenda moja kwa moja kwenye point. Kwangu naona kero za kutembelewa na ndugu ni nyingi na usipokua ngangari wanaweza kukutawala.
Karibuni tupeane ushauri jinsi ya kukabili kero pasipo...
Habari wadau
Kumekuwa na mjadala wenye maoni tofauti kuhusu nani anapenda kati ya mwanaume au mwanamke,na je wanapenda kwa staili gani?
Dhana ya kwanza inadai mwanamke ndo anapenda tena anaupeñdo...
Hii imekaaje wakuu? Je kusave namba za mpenzi kwa pet names like sweet pie, honey boo, bae na kusave namba kwa jina lake halisi like Cassie, Halima, kuna tofauti gani? Pet name lina viashiria...
Habari za majukumu wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyojielea, ninahitaji kuwa na mke ilituweze kusaidiana kujenga familia bora.
Sifa za mtu ninayemtafuta:
- Awe wife material (mchapa kazi n.k)...
Kwa watoto wakali wa siku hizi unaanzaje kuwa mwanaume bila kucheat, unakuta una msichana mkali lakini uko barabarani unakutana na msichana mkali kuzidi msichana wako.
Full kujibebisha, hivyo...
Wale vijana wenzangu mnaopenda majimama (kulelewa) mkubali makofi, makonzi sometimes mitama hadharani, pia hata kufokewa hadharani.
Maana wengi wa hawa majimama wana stress za kutosha lakini...
Morning JF,
Baada ya kuona mateso niliyokuwa napewa na mke siku za nyuma akanipa akili.
Baada ya kutekeleza aliyoniambia nyumba imetulia cha ajabu sijatumia gharama yoyote kweli ukubwa dawa...
Habari wana JamiiForums,
Juzi na jana yaani Jumamosi na Jumapili nilipata nafasi ya kuhudhuria kama service provider kwenye semina ya wanandoa watarajiwa wa kanisa katoliki jimbo kuu la DSM...
Wakuu,
Naomba kujua kwanini sisi wanaume wafupi tunabaguliwa sana na wanawake hawa, mwanamke kila kitu nampatia lakini bado haliziki tuwape nini nyie wanawake jamani, wanawake naombeni ushauri...
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:-
1.Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea mana sipendi kuwa na msichana mwenye mambo ya utoto utoto.
2.Rangi yeyote iwe nyeusi au nyeupe ila sio weupe...
Habari za sa izi ndugu zangu,
Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.
Kiufupi mimi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.