The most difficult time to be in a relationship as a guy is in your early twenties.
The period when you are stuck in a limbo, trying to figure out yourself and who you want to be.
At this age...
TETESI NI KUWA MWANAUME ALIYEIBIWA NI MKAZI WA KIGOMA
Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na...
Baadhi ya wanawake ni viumbe wenye roho mbaya sana, unamnunulia simu mrembo wako kwa moyo mmoja tena ya gharama ila baada ya miezi kadhaa anakuja kukuambie ile simu kaibiwa kumbe ameuza ili tu...
Niwaulize wanawake mliopo huku kwa niaba ya wanawake wa aina hiyo, je mnajua maana ama dhana ya kupendeza ama ni kufuata mkumbo?
Unakuta mwanamke anajitahidi kuvaa kila fashion ikitoka haimpiti...
Jamaa amewahi kuishi na mwanamke kwa miaka sita. Walipokosana akaachana nae. Hivi sasa anataka warudiane kwani wote hawajapata wapenzi wengine baada ya kutengana kwa miaka mitatu.
Je wanaweza...
Habari za mchana,
Tukiwa tunaiendea wiki ya Pasaka yenye mapumziko ijumaa na jumatatu, kusafiri kunanihusu Kasie mie.
Tumeshapanga wapi tutaenda kuburudika Pasaka hii, basi nasubiria siku ifike...
Amani kwenu wanafamilia! Miaka ya kumi na tisa, tisini, kurudi nyuma mambo yalikuwa nafuu sana kwenye mahusiano ukilinganisha na sasa! Halikuwa jambo la kawaida kumtema mtu mara moja baada ya...
Mimi nimeoa na sinaga tabia ya kuchepuka juzi kati nikasema ngoja nikumbushie ukware kidogo nikatokea ka binti bwana,kama kawaida nikakomaa nipate contact nikapewa mwanawane.
Baada ya masaa...
Ukijaribu kuangalia muonekano wa wanawake wengi waliosoma sana hua ni wa kawaida kabisa.
Wanawake wengi wanaharakati, wanasiasa na wenye nafasi kubwa serikalini ambazo wamezipata kwa merits zao...
Umekaa kwenye siti au umesimama ndani ya daladala jirani kabisa na mkaka lakini muda wote upo bize kuhama toka social network moja kwenda nyingine mpaka mwisho wa safari. Hata salamu hujatoa na...
Hili jiji ndio lina malaya wengi, ukiona umelala na mwanamke Dar hata kama ni mpenzi wako halafu anakuambia "mi ndo naondoka inakwaje" huyo ni malaya amekuja kwa ajili ya hela.
Hakuna mademu...
Changamoto za ndoa, dada yupo na stress za kufa mtu.
Iko hivi, kuna hawa wanandoa wameoana wana miaka karibia 2 sasa ya ndoa yao baba mwalimu wa secondary na mama mwalimu wa primary.
Dada anadai...
Salaam wakuu
Kwa uzoefu wangu nimefika point ya kuhitimisha dhana ya mapenzi is only temporaly na kamwe hakuna kitu ntakupenda hadi mwisho wa maisha yangu.
Kiukweli nimefikia hitimisho hilo...
Amani iwe juu yenu
Ni mwaka 1980 niliingia mkoani tanga nikitokea mkoani kilimanjaro ndio kwanza nimetoka kuoa mke wangu mzuri
Dhumuni la kwenda tanga ni kufuata nazi za kibiashara kupeleka...
Natafuta rafiki wa kike anaejua computer vizuri.
Ajue programming languages kama Php,java,c++ etc.
Awe na uelewa wa mambo ya web designing.
Mwenye uwezo wa kufikiri projects kubwa zenye maana...
Natafta mke mapema tu kwa ajili ya kuitafta pepo....awe anajua dini ya kiislam vzuri na Kama hajui awe tayari kukaa chini na kusoma..tusisumbuane kabisa juu ya kutekeleza amri Za mungu
Ikiwemo...
Habari wana jukwaa..
Kuna wakati Mungu anaamua kukutumia kama njia ya kumuadhibu mtu mwingine ambae Aliwah kumkosea Yeye au mtu..
Mfano :
Unapata boyfriend /girlfriend unadate nae Kisha baada...
Hapo vip!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiifanyia uchunguzu tuhuma na moja lakini matokea Ya research yangu imenionyesha uwongo mkubwa sana katika tuhuma number moja kama inavyoonyeshwa katika...
Homa na mafua zilitawala mwili wangu kwa muda wa wiki 1, nikafanya vipimo nikapewa ushauri hatimaye nikaagiziwa dawa za kutumia, nikaenda duka la dawa (pharmacy) moja hapa mjini nzuri kununua...
Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota carina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.