Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210K
Threads
7.5K
Posts
210K

JF Prefixes:

Jamani mm kwa maono yangu aliyebikiri ndie anaepaswa kulipa zaidi,kwa sababu muhusika anajulikana,na aliyeowa mwanamke ambaye si bikra,basi itakuwa kamstiri tu.
0 Reactions
43 Replies
4K Views
NILIRUDI nyumbani na kumkuta mke wangu akiwa vilevile. Alikuwa amejilaza kitandani akiugulia maumivu ya tumbo. Nikaketi kitandani na kumsogeza karibu yangu. Nikamlaza miguuni mwangu. “Vipi Rita...
3 Reactions
39 Replies
42K Views
Habari za Jumapili wadau wa MMU, Leo nilikua naomba kuwauliza walezi na wazazi wenzangu ambao tunalea watoto na tunaishi majumbani mwetu kama tunakua na ukaribu na watoto wetu ili kujua...
51 Reactions
263 Replies
21K Views
  • Redirect
Dah, kuna msichana umri wake yapata 20yrs mimi nina 40 yrs. Huyu msichana alikuwa anaonyesha kunitaka lakini nampotezea sana, sasa leo amenitega kweli, amenikuta sehemu yangu ya kazi kaanza...
1 Reactions
Replies
Views
Habari za jioni, Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu. "Hivi ushamla yule (kufanya naye ngono) msichana?" Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana...
8 Reactions
118 Replies
10K Views
Natumai mu wazima jamani. Mimi naomba tujuzane juu ya kubaini kama mpenzi wako katoka kulala na mtu mwingine, utaona ishara au kitu gani mwilini mwake? Nawasilisha
1 Reactions
82 Replies
18K Views
Wadau wa ukumbi huu habari mda huu. Nina mpenzi wangu ambaye moyoni nilipanga ndio aje awe mama wa watoto wangu na yeye anajuwa hivyo. Nilimpata kwa tabu sana nilimtongoza karibu mwaka mzima...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
  • Redirect
FUNDI CHEREHANI Sehemu Ya 31 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Ilipoishia Jana →↓↓ "lakini mamy" "lakini nini mwanangu? Nakupenda na nataka uwe mpenzi wangu wa milele na...
2 Reactions
Replies
Views
A few of my lads think that, now that I am married, I am an authority on relationships... This is a very misguided school of thought. I know as much (little) about relationships as most...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Nipo naangalia habari kupitia Clouds Tv online,nimekutana na hii habari. Katika idadi ya wananchi wa Tanzania,15% ndio waliofikia umri wa kujamiaana na matumizi ya condom kwa mwaka ni condom...
1 Reactions
105 Replies
16K Views
Wana MMU habari zenu. Mimi nina swali eti hili suala la limbwata lipo kweli au masimulizi?
0 Reactions
82 Replies
10K Views
Yamkini binadamu ndiye kiumbe pekee kinachofanya mapenzi kama starehe ukilinganisha na viumbe wengine. Binti avunjapo ungo hujiona anaweza kuhimili mikikimikiki yeyote ile ya dushe ilimradi tu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana mmu. Juzi hapa nilieleza mikasa ya mahusiano niliyokumbana nayo. Wana mmu walichangia mawazo na ushauri kwa wingi sana. Wengine walikuja mpaka inbox kuteta nami. Nawashukuru mno...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wadau.. Niko na GF wangu kwa takribani miaka miwili. Tumekuwa tunaenda fresh kwa kipindi chote hicho mpaka week la juzi kati alipoanza mambo ajabu ajabu. Alianza mapozi ya kijinga na kauli...
3 Reactions
275 Replies
16K Views
Hivi kuna mwanaume ambaye hajawahi kuhonga?. Kama umewahi kuhonga dau lako kubwa kabisa lilikuwa sh ngapi?
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Sidhani kama ni mimi pekee nimekumbana nalo. Anakuja mkaka anakutaka urafiki na kwenye mazungumzo unamfeel na baada ya muda unampa ok. Mapenzi yanaanza kuwaka, mapenzi yako yote na ya akiba...
12 Reactions
130 Replies
10K Views
  • Poll
Habari wana jamvini, mie kuku mgeni jamani. Jana nilikuwa nawashwa sana na mkono wa kushoto na kweli hela ilinitoka sana,leo asubuhi mkono wa kulia umeniwasha sana na sasa ivi kuna mtu kaniletea...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
  • Redirect
Wife Swapping With An African Tribal Touch In NamibiaBy Kevin MwanzaPublished: April 7, 2014, 06:08am From AFP via Africa Review Wife swapping among Namibia’s nomadic tribes has been...
0 Reactions
Replies
Views
Yeyooooo! Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni...... Mgeni anapokuja nyumbani kwako utamkaribisha kwa glass ya juice/ soda/ maji na hata chakula. Kama ataendelea kuwepo na ni mgeni mwanamke...
21 Reactions
287 Replies
18K Views
Akiongea na mimi wakati alipokuwa ziarani nchini China hivi karibuni, mwanadada huyu machachari na maarufu nchini, amesema atafungua duka la chupi zenye label ya maneno "Endless Fame" kwa upande...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Back
Top Bottom