mwanamke ukizidisha makeke kuliko mwanaume,atakuacha,maana siku zote mwanaume anapenda kuonekana mbabe,mfano me nimetosheka na bao 4, wewe ndo kwanza unaanza,maana yake nikikuoa utanikondesha bure
Wana Jf
Natoa wito kwa kina dada ambao wana ma boy friend kuwa wanapokuwa na matatizo ya ki afya ambayo ni confidential wawe wawazi kuwaeleza ili wasaidiane au isiwe tatizo kwa kipindi...
Kwanza nianze kuwapa pole kwa wanawake wote waliojitokeza kwenye sakata hili la wanawake waliotelekezwa na wanaume wao huwa inasikitisha kumuona mwanamke mitaani amebeba mtoto anafanya kazi ngumu...
Huyu mwanamke alikuwa girlfriend wangu miaka kama kumi na sita iliyopita, tulikuwa ndani ya uhusiano huo kwa muda wa miaka isiyopungua minne ofcourse kila mtu, familia, marafiki hata yeye...
Wana JF - MMU salaam,
Kama title ilivyo nimekutana na picha ya harusi mujarab kabisa. Naam picha ni nzuri bi harusi amependeza mno na bwana harusi kadhalika. Wapambe wao nao wamependeza haswa Ila...
Wana JF
Nimegundua kuwa ndoa nyingi hazidumu na miongoni mwa sababu za ndoa hizo kuto dumu ni:
1. Pamoja na msichana/mvulana kumlazimisha mwanaume amuoe kwa sababu familia yake ni tajiri au...
Ukitaka kuoa ukakutana na hawa pamoja na kwamba ni wazuri mno na warembo na shepu ndio hizo namba nane wowowo hiyo utamchukua yupi.
Wanaume naomba tuwe wakweli.
1. Mwanamke mchawi
2. Mwanamke...
Leo, wakewenza watajuana, watoto wataunganishwa na familia zao na koo zao.
Leo raha sana kinamana mmejiandaa vipi kupokea wageni majumbani mwenu?
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul...
Sijui ni ugumu wa maisha au nini lakini nadhani hisia zangu haziko mbali sana na ukweli.
Mpenzi wangu wa zamani ananipigia debe kwa rafiki yake. Hatujaachana miaka mingi sana, ni mwaka 2016...
Nina mpenzi ambaye tumedumu miezi kadhaa sasa mabadiliko yake ndiyo yamenifanya niombe ushauri hapa mwezi wa kumi mwaka huu tulipanga tutafute mtoto, ambapo tulijamiana sasa kabla haijapita wiki...
Hivi jamani kuna haja mkiachana na boyfriend wako au girlfriend ufute kumbukumbu zote kama vile picha na kumbukumbu nyingine? Nauliza kwasababu mimi tabia hiyo sina, kumbukumbu zote kama vile...
Dear x,
Nina imani ulipo kwa muda huu ni mzima una furaha, amani na inawezekana kabisa hukumbuki kwamba nipo na mimi duniani, mtu ambaye wiki chache zilizopita tulikuwa tunaitana babe, hun...
Hawa ni wengi sana japo hawafanyi shughuli hii kando kando ya barabara lakini inbox za wanaume zinafahamu, yaani mpaka mtu anaamua ku join chaputa maana wanaomba hadi kero. Ni hilo tu.
Wanawake wapenda mpira wako tofauti sana,nimekuja kugundua wapo funny,charming,wanajua mengi yanayoendelea kwenye ulimwengu,wapo update mda wote na wapo shap shap!
Kwanza wapo kishkaji wanaendana...
Wakuu,
Kuna jamaa yangu anapitia wakati ngumu sana, yuko kwenye uhusiano na wanawake wawili, wa kwanza walijuana miaka kama 8 hivi iliyopita na wa pili walijuana miaka kama miwili iliyopita...
Kwa wadada.
Nianze kwa kukubali tu kuwa wapo waruzi tena sana wa sura. Lakini pia wapo wazuri wa maumbile bwana ukiwaona mpaka unatamani uendelee kuona.
Yote ni sifa kwa Mungu sababu ya uumbaji...
Embu tushirikishane, mnamudu vipi ku-cope hasa kama wewe hushiriki mambo hayo?:
Maana sipati picha harufu ya domo la sigara kama Nyota, achilia mbali pombe haswa mataputapu.
Embu tupeane uzoefu...
Habari wapendwa wa JF.
Kile kitabu kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji cha VISA NA MIKASA YA KESI MAARUFU DUNIANI NA HUKUMU ZAKE kimetoka na kwa sasa kinapatikana Chuo Kikuu Mlimani Dar...
Ulipochaguliwa kujiunga na kidato cha tano ulikutana na Austin, mvulana mtanashati mwenye tambo la kuvutia. Austin anacheza basketball shuleni kwao ni nyota na wasichana wengi wanampenda.
Mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.