Wanawake punguzeni ukatili

Wanawake punguzeni ukatili

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
5,634
Reaction score
9,153
Me: Hellow niambie Mr. Christopher

Chris: bro naomba unisaidie huyu mwanamke me nitamuua humu ndani.

Me: kwani kuna tatizo gani limetokea asubuhi yote hii bro.

Chris: si huyu mpuuzi ( Anitha ) kafanya ushetani wake me nitamuua ujue, ( chris akiongea kwa sauti ya uchungu na kulia )

Me: sasa huongei nikakuelewa hebu ongea kuna nn nijue nyoosha maelezo bhana.

Chris: bro nakuomba uje unisaidie siwezi kuzungumza tena kama hutokuja sawa tu, ( chris akakata simu )

ni mazungumzo kati ya Mimi na Christopher ambaye alinipigia simu asubuhi akihitaji msaada wangu.
Chris ni kijana ambaye ameoa miaka 4 iliyopita na amebahatika kupata mtoto mmoja na mkewe Anitha,
Chris alinichagua kuwa mpambe wake katika siku ya harusi yake, hivi karibuni Mr.Christopher alipata uhamisho kazini na kuhamishiwa katika mkoa wa iringa.

Kisa cha kunipigia simu asubuhi ni kutaka kunieleza kuhusu ukatili aliofanyiwa na mkewe, hakuweza kuzungumza tena na nikaamua kumfuata nyumbani kwake ili nijue nini kimemkuta chris.

Chris akanieleza yote na kisa chenyewe ni kuhusu mkewe kumsaliti na amemgundua baada ya kumuona mkewe kachora tattoo kiunoni zenye maandishi ya jina la wanaume wawili tofauti, akanukuu maandishi hayo yameandikwa
" FOREVER MY KELVIN " nyingine imeandikwa kwa kuzungushiwa mchoro wa alama kopa
" JUST YOU MICHAEL "
akaendelea kusema pia amemkuta akivaa cheni kiunoni na kikuu mguuni,

Chris aliongea kwa hisia sana na kuumizwa kwa huu ukatili wa mkewe Anitha, ni miezi sita tu toka aondoke lakini mkewe ameshamsaliti.

Wanawake punguzeni ukatili, tunaelewa kuwa hata mwanaume huko alipo alichepuka lakini akakumbuka bado nina mke bado nina familia bado ninayo ndoa, lakini mwanamke akajisahau ndani ya miezi 6 tu, akachora hadi tattoo tena za wanaume wawili tofauti ni heri angechora tattoo kwa jina la mumewe, lakini akajisahau, akapuuzia, akadharau hakujua umuhimu na thamani ya ndoa akatenda ukatili tena mkubwa zaidi ya iddi amini kuua vilema katika mto wenye mamba wakali,

Hamtendi vyema juu ya ukatili mnaowafanyia wanaume, hii dhambi ya usaliti ni dhambi ya ukatili tena inaumiza mno.

Hakuna aliye mkamilifu siku zote ila tunapaswa kuwa makini kukatazwi kuchepuka ila kuwa na huruma chepuka kwa akili, usisahau ndoa yako usisahau kuwa una mtu wako wa muhimu katika mahusiano yenu.

[emoji4] [emoji106]
 
Mpaka mke anachora tatoo tena za wanaume wawili basi ujue kuwa hakukuwa na ndoa hapo, ilishakufa siku nyingi. Na kuna makubwa zaidi ya hayo...kujudge upande mmoja pia ni shida. Hukumuhoji bidada why kafanya hivyo?
 
Mpe pole, mwambie kuwa, huyo ndio chaguo lake hadi kifo kitakapowatenganisha.
 
Ivi kuna mwanamme atakayeona iyo kitu nabado akajishauri tena nikwa mke wake????


Alafu hii nayo nistori tu kwanza hamna mwanamke wa ivo.
Hata mimi nimewaza, mke wa kuchora tatoo tena za wanaume wawili. Kuchepuka sawa lakini kwa mtindo huo mmh!
 
Hata mimi nimewaza, mke wa kuchora tatoo tena za wanaume wawili. Kuchepuka sawa lakini kwa mtindo huo mmh!
Ndo maana namm nmehisi ni chai au jamaa kaongezea chumvin,hivi kuna mwanamke wa ivo kweli?? Ameolewa ,sawa kuchepuka kupo , lkn hadi na kujichora ,tena unajichora majina..t
Mbaya zaidi majina mawili haaaaaaaaaaa ..hii yaweza kua chai ilowekwa chunvi aseee.

Hamna mwanamke asojielewa waaina iyo..labda aseme SIO mke wake ila wamezaa lkn kila mtu anamaisha yake na wanastua mara moja moja ,sasa amekuja kustua ndo akashangaa kuta izo ..ndo amebaki mdomo wazi.
 
Duuh!!!!Anitha ana moyo sana,kuchora tattoo za wanaume wa nje si mchezo
 
Back
Top Bottom