Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni takiribani mwaka mmoja tangu nilipomuoa. Kabla ya hapo alikuwa akiishi na mama ake wa kambo. Tangu nimemuoa huyu mke wangu mama ake huyu amekuwa kila mara akija kwangu [kama mara sita au 5] na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Raha ya kutongoza mwanamke aone aibu kama ikitokea mmesimama achume majani, akate miti namna hiyo. Sisi wanaume tunapenda sana sio nakutongoza umekaza sura hapana. Enzi zile tuko vijana ilikuwa...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Aiseeeh kweli kila mwaka na vituko vyake! Najua wengi mnakumbuka enzi zile za Tangazo la Fataki. Fataki ni mbaba mwenye pesaa ana familia yakee lakini ana tabia ya kutongoza na kutembea na...
19 Reactions
247 Replies
15K Views
Kuna baadhi ya Wanaume akiambiwa panda mgongoni mwanaume wa watu anaona aibu. Basi hata kumbeba mke wako hakuna na hivi siku hizi hamna nguvu kisingizio nimechoka kazi zinachosha. Kukatwa...
13 Reactions
311 Replies
15K Views
Wanaoongoza kuanzisha Mada za Wanawake kutokuolewa sijui baada ya umri fulani ni Wanaume na siyo Wanawake wenyewe ambao ndiyo wahusika wakuu kama ambavyo wengi wetu tungetegemea, sasa ni kwa nini...
11 Reactions
93 Replies
8K Views
KW jin naitw jumer nip Dodoma ninaumri wa miak 21 natafut wa din yoyt ile awe wa rang yoyt ile pia awe na umri kuanzia miak18-28 asiwe mnen awe mwembab na mweny Shep nzur awe natabia nzr2 anichek...
1 Reactions
0 Replies
519 Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Bado niko Dar sijarudi Mwanza niko nazunguka zunguka mitaa tofauti tofauti ya hapa nikijionea uzuri wa mji ili nami...
2 Reactions
211 Replies
22K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, Toka nimuoe huyu mwanamke huu ni mwaka wa kwanza. Huwa nina utaratibu wa kila siku kuomba mechi nipige japo...
7 Reactions
138 Replies
13K Views
Jamani nimetokea kuwa na matumizi makubwa na kupata kilevi to a high extent mpaka nahisi my gal ataniwacha sooner or later I am not myself anymore and I need your help friends seriously,I have...
5 Reactions
159 Replies
10K Views
Habari za mapumziko wana jukwaa! Kuna jambo mimi hunitatiza sana naomba mnisaidie. Imekuwa ni kawaida kuona kina dada/mama wakifanya mambo au tabia ambazo kikawaida kwa sisi waafrika tunaona ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wandugu? Samahani, hili swali ni ruksa kwa wote.Aliye ndan ya ndoa na ambae bado hajaingia. Ni hivi hivi mapenzi au ndoa ya kuishi mbali na kuishi pamoja kila siku mkiwa mnaonana kipi...
5 Reactions
186 Replies
17K Views
Hiv wadau ni uongo gani ambao umewahi kumdanganya au kudanganywa na mpenzi wako hadi ukajuta. Binafsi mpenzi wangu alinidanganya ana mimba yangu like hajaona siku zake miezi miwili na alikuwa ana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu, kisa alimletea mayai na kushindwa kuyalipa na ikabidi mke amlipe kwa staili ile, sasa kilichotokea ni jamaa mwenye mke alipofika ikabidi mwizi ajifungie...
1 Reactions
65 Replies
11K Views
..
7 Reactions
65 Replies
6K Views
Habarini za kazi wana JamiiForums, Bila kupoteza muda naomba kutiririka moja kwa moja, hoja yangu iliyopelekea kuandaa uzi huu. Kwanza nianze kwa kusema nawapenda sana tena toka moyoni...
2 Reactions
72 Replies
6K Views
Ndio maana nawapenda sana wanawake na kuwaheshimu sana. Kina mama wana huruma sana. Ex wangu anategemea kuolewa April 29, 2018 . Kaniomba tuonane mahala patulivu na mahala binafsi aniage once and...
14 Reactions
95 Replies
11K Views
Eti wadau, Kumtongoza mwanamke then siku hiyohiyo ukataka kumvua chupi ni umalaya au inakuwaje? Je, na wale wanawake wanaotongozwa siku hiyohiyo na kumegwa (one night stand) inakuwaje pia? Vipi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi ni msichana wa miaka 27, mwajiriwa selikalini naishi Mbeya. Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamini mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
Habari za majukumu wakuu. Kama mada inavyojieleza hapo juu, siku za nyuma nilileta mada yangu inayohusiana na mrejesho wa mada yenyewe. Kiukweli hawa viumbe wana tabia ya kutupima sana sisi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom