Kumsaliti mkeo haimaanishi haumpendi

Kumsaliti mkeo haimaanishi haumpendi

Hasa wanawake wanapaswa kujua hilo. Kwamba mwanaume kulala na mwanamke mwingine haina maana kua hampendi mwanamke wake alie nae.

Sisi wanaume mapenzi/upendo na ngono ni vitu viwili tofauti ambavyo haviingiliani kabisa. Tunaweza kusex na mwanamke huku humpendi.
 
KUMSALITI MKEO haimaanishi eti ndo HUMPENDI!

• Hapana hii ni kama kukodi TAXI [emoji595] & wakati una GARI yako NYUMBANI!

• Hii INAKUSAIDIA kuokoa MATAILI yasiharibike haraka na hata GARI lionekane HALIJATEMBEA umbali MREFU!
Umeolewa!!?
 
Kweli kabisa
 
Yaani wewe unahalalisha dhambi bila hata woga kidogo mkuu. Je mkeo nae akikusaliti utamwacha tuu kwa sababu atakuwa ameokoa tairi za gari kuisha haraka,?????
Mkuu umeongea fact, lakini kiuhalisi mtoa mada kaongea ukweli na hali halisi iliyopo kosa lake ni kuhalalisha tu basi
 
Hasa wanawake wanapaswa kujua hilo. Kwamba mwanaume kulala na mwanamke mwingine haina maana kua hampendi mwanamke wake alie nae.

Sisi wanaume mapenzi/upendo na ngono ni vitu viwili tofauti ambavyo haviingiliani kabisa. Tunaweza kusex na mwanamke huku humpendi.
Umeongea ukweli mkuu usiofichika
 
Hasa wanawake wanapaswa kujua hilo. Kwamba mwanaume kulala na mwanamke mwingine haina maana kua hampendi mwanamke wake alie nae.

Sisi wanaume mapenzi/upendo na ngono ni vitu viwili tofauti ambavyo haviingiliani kabisa. Tunaweza kusex na mwanamke huku humpendi.
nahiyo ya kusex na mwanamke wakati haumpendi ndio huwa inatutokea Mara nyingi mnoooo""
 
Yaani wewe unahalalisha dhambi bila hata woga kidogo mkuu. Je mkeo nae akikusaliti utamwacha tuu kwa sababu atakuwa ameokoa tairi za gari kuisha haraka,?????
aliyekudnganya kuwa mwanaume anachoka nani ?? mwanaume hana menopause aisee
 
Back
Top Bottom