Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
209.6K
Threads
7.5K
Posts
209.6K

JF Prefixes:

Kama itakumbukwa kuna siku niliwahi kulete thread humu kuwa nimemfumania muuza njegere na house girl wetu. Sasa hapo baadae kidogo mambo yakaisha sasa juzi yule house girl baada ya muda akaja...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
wale wenye matusi naombeni samahani Mungu anawaona kama mnavonijua mimi ni mdada mtu mzima kabisa na akili zangu timamu,nimeamua kuishi maisha ya heshima sema tatizo marafiki wananiharibia plan...
4 Reactions
111 Replies
8K Views
Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji. Upweke nao unatesa...
14 Reactions
193 Replies
11K Views
  • Redirect
Habari zenu wakuu, Naombeni jamani mnishauri mbinu nitakazotumia kumuomba msamaha mpenzi wangu. Asanteni
1 Reactions
Replies
Views
Riwaya: FORGIVENESS OF MAMA! Mwandishi: SEID BIN SALIM. Mwanzo Kumbu kumbu..... "Mama!, Kila siku nakuuliza kuhusu baba yangu yuko wapi hunijibu na kunambia utanambia utanambia utanambia, nna...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
"MKASA" NILIIBA MTOTO KWENYE WODI YA WAZAZI ILI NITUNZE NDOA YANGU Nilikua nafanya biashara ya kuuza mwili wangu, kila aliyetaka kunitumia alipanda dau awezavyo! Kwa siku...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Natumai hamjambo na mnaendelea na kukulu kakala za utafutaji, Ni miaka 6 sasa nilipokutana na binti mipakani nikifanya biashara Enzi hizo ilikuwa ni biashara za magendo Kasumuru/Tunduma pia yeye...
2 Reactions
137 Replies
11K Views
Habari wanajamii wenzangu, Kama kichwa kinavyojieleza, kuna manzi alikuwa ananifuatilia kuanzia 5 mwaka huu kwa maana alikuwa ananitaka tuwe wapenzi, juzi kati nikawa nimemkubalia lakini...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
MPENZI msomaji wangu, ulimwengu wa sasa wa kimapenzi umetawaliwa na sarakasi nyingi sana. Mapenzi ya sasa ni tofauti kabisa na yale ya zamani. Kila mmoja amekuwa na mapenzi ya kisanii, hakuna hata...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna bwana miaka 50+ mwana usharika mzuri tu na familia yake, miaka iliyopita mke wake alifariki wa ugonjwa wa saratani, kwenye ndoa ile walifanikiwa kupata watoto watatu wa kiume. Yule mzee...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Apo chacha! Leo ningependa tushirikiane wanaJF wote kufanya tafiti ili tuweze kuwa na takwimu mathubuti, tafiti yetu ina lengo la kutaka kupata picha ni kwa namna gani watanzania wanachepuka na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanandugu. Nina miaka 30 sasa chini ya jua hili. Naishi peke yangu. Sina mchumba wala mpenzi ila natamani sana kama niwe na mwenzangu japo wa kubadilishana nae mawazo usiku lakini moyo...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Mwenyenzi Mungu yupo na anajibu dua zetu.leo nimepata habari njema sana katika maisha yangu, i can wait to sleep in my new bed with new dreams! i wish my mr right angekuwepo hapa leo. Kwa wale...
12 Reactions
77 Replies
5K Views
Wapendwa habarini.... Kwa sasa kama kunakitu nakiogopa basi wanadunia hii ya Leo. Huwa najiuliza inakuaje MTU anampa thamani na matunzo ya hali ya juu MBWA kuliko hata huosegirl wake. Jamani...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia.. 1. Mpatie hela ya kutatua mahitaji yake. Usisubiri akuombe mana wengine kuomba hawawezi. 2. Mfikishe kileleni...
16 Reactions
141 Replies
10K Views
Mnamo tarehe 25 Julai 2010 majira ya asubuhi, tajiri mmoja maarufu aliyetambuliwa kwa jina la Bwana Kizito alikutwa ameuawa nyumbani kwake kwa kupigwa na kitu kizito kichwani alipokuwa sebuleni...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Nmejalibu kila namna nmeshindwa had najikuta mm ndo namtukna tena huku mm bado ndo nilimpiga na sio Mara mbili zote kanisameh hii ya tatu ataki kabisa hta kuonana na mm na nikipigia cm apokei...
0 Reactions
60 Replies
14K Views
WANANDOA WATAKAOISHI PAMOJA LAZIMA WAWE ENEO MOJA LA KAZI. umuhimu wake. 1.watatimiziana haja za ndoa yao barabara na kwa wakati muafaka 2.inapunguza vishawishi vya usaliti na migogoro 3.hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi kuna utofauti wa vipochi manyoya katika radha, naomba kujua hilo maana nipo gizani.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom