Ni mja mzito!

Ni mja mzito!

capitalpool

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
22,369
Reaction score
121,270
❤ _ Coffee.Code.Sleep.Repeat _ 712

woman.jpg
 
Ujue mwanamke Mjamzito anakuwa anabadilika badilika.

Mfano Ujauzito wa kwanza anaweza kuwa hana usumbufu wowote.

Ujauzito wa pili anabadilika.

Mfano Mida ya kulala ukitaka kumshika hataki.

Ukiomba Mchezo hupewi, nakuambia hapo Usingizi hauji UUME utakusimama Usiku kucha.

Unaomba, basi niachie nishike Tumbo ili nipate kumkumbatia mwanangu, utaachiwa lakini kiroho upande.

Kugombana na kununiana ni vitu vya kawaida sana.

Kitu ambacho yeye amekatazwa na Daktari, yeye ndio anachotaka kukifanya.

Haya mambo ukielezewa huwezi kuyaelewa mpaka wewe ndio uwe Muhusika mkuu ndipo utakielewa ninachokisema hapa.

Kwa kweli ni mengi yanatokea na huwezi kuyakumbuka haraka haraka, na mengine hayaelezeki.

Kiongozi,

Karibu sana kundini.

Kama una swali lolote au msaada wowote unaouhitaji, usisite wewe uliza tu
 
Kuna Vijanaume Vinakera,yaani Hata Hujaona Kisirani,hujaona Matapishi Hujaagizwa Kitumbua Kwa Mama Juma,Ushaweka Defensive Mechanism,kudinya Udinye Wewe Karaha,furaha Umpe Mama Yake,embu Tuwapumzishage Mama Zetu Jamani
 
Asante Chief, nataka kujua nikiamua kaa nae mbali kidogo mpaka ajifungue ili kupisha izo vurugu na kero ni sahihi?
 
Kuna Vijanaume Vinakera,yaani Hata Hujaona Kisirani,hujaona Matapishi Hujaagizwa Kitumbua Kwa Mama Juma,Ushaweka Defensive Mechanism,kudinya Udinye Wewe Karaha,furaha Umpe Mama Yake,embu Tuwapumzishage Mama Zetu Jamani
Duh! Nafanyaje yote hayo, iwapo kuniona hataki? Lengo langu ni tusigombane Mkuu na zaid asinifanye nimkasilikie/kumchukia.
 
Hongera sana mkuu
kuondoka haitasaidia chochote bora ukae nae umvumilie tu ndo mkeo.
 
Back
Top Bottom