agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Ni mpenz wangu tuliyedumu kwa miaka minne,tuliachana baada ya yeye kufika chuo mwaka Wa pili kila mtu akaendelea na maisha yake baada ya makubaliano ya wote wawili japo ..
mwanzoni niliumia lakini nikazoea na maisha yakaendelea.
Kwakua tuliachana kwa amani mawasiliano yaliendelea kati yetu japo haikuwa kama mwanzo.
Kinachonishangaza sikuhizi kaanzisha tabia kila akinipigia Simu au kunitumia msg lazima aulize mumeo ajambo?.. Nikimjibu hajambo anakaa kimya hata mwezi bila kunitafuta yani anakuwa kama amenuna..kuna kipindi nilimdanganya nimejifungua mtoto akafunga safari kwa siri mpaka nyumbani kuja kuhakikisha nimezaa kweli au laaa......huwa najiulizaga huwa hapendi na Mimi niwe na mahusiano kama yeye au ninii tatizo.