Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya kuchoka usingle mother nimeona is not funny nahitaji mume jamani. 08/09 natimiza 29, kimo f 5.5 primary teacher, mtoto mmoja, am black beauty, mcheshi na vurugu nyinginyingi ha ha haaa...
24 Reactions
92 Replies
11K Views
Jukwaa hili lililenga zaidi kuiimarisha jamii kwenye masuala ya ndoa, uchumba au mahusiano. Rakini ukisoma asilimia zaidi ya 90 ya thread humu zianachochea, zinashawishi na kusifia uzinzi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Punguza marafki ambao ukimwambia nataka kufanya hiki, anakujibu utaweza? Punguza marafki ambao kutwa anataka mchafue meza bar Punguza marafki ambao kila wiki ni ngoma Punguza marafki ambao...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Kamvua na kaubaridi haka hapa jijini Dar kamenifanya leo nitamani gahawa. Wakati napata kikombe changu cha kahawa imenijia kumbukumbua ya babu yangu na rafiki yangu. Ni mdogo wake babu aliemzaa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mi mwanamke mwenye mwili mgumu sinaga stimu naye, mwanamke inatakiwa ukimgusa kama unagusa nyama ya konokono yaani softi, ukigusa titi linabonyezeka (ila isiwe ndala tu), matiti mengine magumu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau wote wa JF natumai ni wazima wa afya, Binafsi kila mtu anayo malengo yake aliyojiwekea na muda wa kuyatimiza. Malengo yangu yametimia na sasa nahitaji mke ili kujenga familia imara yenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamii forum tupieni hapa jambo lolote usilo lipenda kutoka kwa mpenzi,rafiki ndugu,jamaa nk.
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Mtu kwa Hekima zako tu ulizopewa na Mwenyezi Mungu unakuwa ' mpatanishi ' mzuri wa Ndoa za Watu au Mahusiano ya Watu ukidhani kuwa unawasaidia kumbe hapo hapo tena Wewe uliyepoteza muda wako na...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapa namaanisha unalala naked kabisa bila boxer, kwa kina mama huwa ni kawaida yao kulala hivo tena wanapenda kulala ukutani nalo sijui ni kwanini wanapenda hivo. Hoja kuu ni mwanaume rijali...
3 Reactions
124 Replies
14K Views
Wasalaam! Wapendwa Ni Movie Gani Ya Mahusiano,mapenzi Ambayo Umeshawahi Kuiangalia Ikakuvutia Na Huchoki Kuitizama Tena? Kwa Upande Wangu Ni PASSION OF LOVE{ NIGERIA MOVIE} AND THE PROMISE.
4 Reactions
514 Replies
72K Views
Nitashukuru nikipewa Heshima yangu na kuthaminiwa hata kwa Zawadi kama Tsh Milioni 150 tu. Nawasilisha.
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Haya haya ni weekend !! Wanaume mnaobadilisha magar kwa week moja mtu amepita na magari ya aina tofauti mna matatizo gani? Leo anakuja na Prado kesho Toyota keshokutwa kispashoooooo mtondogooo...
5 Reactions
159 Replies
9K Views
Ushauri kwa wale wanaofikiri mwili unaridhika; Hii ni kwa wale :- ...Wanaofikiri wakioa/kuolewa wataridhisha miili yao kimapenzi, la hasha -mwili hauridhiki kamwe. ...Kwa wale wanaofikiri...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukitaka kujua kama kweli mwanamke uliyemuoa, (haijalishi umeshazaa naye au la) ni mwaminifu na anakupenda kweli kweli ,basi ni kupitia jela, ; Siku ikitokea umehukumiwa kifungo cha miaka kadhaa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nipo humu na mwaka sijawahi kuandika chochote zaidi ya leo kutokana na kichwa habari lakin ndo ivo wanaume kuweni makini
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapo vip!! Wadau katika tafiti zangu na uzoefu nikiwa nasoma secondary, nimegundua wasicha wa wenye umri chini Ya 22 tu wengi wanakuwaga na upendo wa dhati na niwaaminifu kwa wapenzi wao...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Nawasalimu nyoote!! Bila kupoteza muda naomba nianze kutoa experience mbili ambazo baada ya kuzipitia nikasema wacha nishare na wenzangu ili tuendelee kuimarisha mahusiano yetu na wenza wetu...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Kuna msichana tunakaa naye mtaa mmoja alisema ananipenda na kila nikienda mtaan kwao huwa ananishobokea kusema ananipenda. Nikaamua kuchukua namba yake na kumuuliza kweli unanipenda akasema ee...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Habari ya jumaa wapendwa! Baada ya kutoka zangu jogging na rafiki wangu wa faida, takaanza kutia story mbili tatu za hapa na pale,, huku tunatembea zetu mdogomdogo kuelekea home,, ghafla...
12 Reactions
78 Replies
6K Views
Back
Top Bottom