nyaggad
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,160
- 692
Habari wakuu!
Kama. Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Siku hizi wanaume wengi. Wamekuwa. Wakilalamika kuwa wanawake. Wa siku hizi. Wana matatizo sana,
Tofauti. na Wazamani ambao ni bibi na Mama zetu,Hali ambayo. Imepelekea. Wanawake. Wengi kutoolewa na wengine. Kuolewa. na kuachika kwa mda mfupi,
Nimefanya tafiti nimegundua sababu ni nyingi lakini leo
Nitaelezea sababu Moja tu
1)Mila na tamaduni zetu,
Hapo zamani Binti alikuwa akifikisha miaka 14 anapelekwa unyagoni kufundishwa. Majukumu ya Mwanamke kwa Mwanaume na Familia kwa ujumla, Binti alipokuwa akimaliza mafunzo hayo alionekana kujitambua,
Kujituma. Kufanya kazi za nyumbani na kuheshimu!
Wanaume tofauti na wanawake. Wa siku hizi Eti unakutwa Mwanamke ana Miaka 30. Akiwa anataka kuolewa ndio anapelekwa" kitchen party"
Kujifunza namna ya kuishi na Mwanaume na kutunza Familia yake,wahenga wanasema (samaki mkunje angali mbichi) hivi Kweli Unaweza ukamfundisha Mwanamke.
Wa Miaka 30 namna ya kuishi na Mwanaume?, unaweza ukamfundisha usafi na kupika kweli? Tusidanganyane, ukweli ni kwamba wanawake wengi siku hizi hawa Dumu katika mahusiano na ndoa kwa sababu hawa kupewa Mafunzo ya Maisha ya Ndoa Mapema, kama walivyopewa Bibi zetu, Matokeo
Yake Ma Binti wengi wamekuwa "Brain washed" na utandawazi wa kileo!
Nakaribisha mtizamo tofauti!