Baada ya tangazo la wenye vyeti fake kurudishwa kazini call na massege zake azikauki kwenye simu yangu.

Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
3,478
2,000
Wakuu Habari zenu,

Wakuu naomba ushauri kwenye hili huyu mwanamke aliniambia ananipenda ila Mimi baada ya kupitiwa na fyekeo la wale darasa la saba huyu mwanamke niliokuwa nae kwenye mahusiano ghafla hakawa hapokei simu zangu walakunijibu sms zangu na nilivyokuja kucheki whatsapp alikuwa kaniblock kwenye namba zangu zote
Baada ya me kuona hivyo,nikaona isiweshida nikampotezea nikapata mwingine mwenye kunipenda kwa dhati ki hivyo hivyo maisha yanaenda.

Nashangaa Leo asubuhi kadamkia Saa kumi na mbili kamili kunisalimia.
ananipigia simu sijapokea na saizi tena kapiga sijapokea .

Ameninitumia massage nyingi moja wapo anasema ananisalimia tu na amenimis niko wapi saizi tuonane .

Nipo najifikia hapa nimfanyie nini ilinimkomeshe iliajeasimulie kwa wengine.maana me sio mjinga kiasi hicho .

Hapa nawaza twende out halafu nitoloke nimwachie msala wa bill kulipia yaani niagize vitu vya gharama .

Halafu natokomea kusikojulikana Baada ya hapo naliblock kwenye simu au nimkomeshe na kipi?

Au nimpakazie kesi ya wizi ni muweke ndani kwanza hata siku mbili tu?

iliiwefunzo kwa wengine walionatabia kama hiyo? Iliwasirudi tena hizo tabia kama umeamua kunitosa nitose kimoja sio unaangaika na hela zangu.

Nawasilisha.
 
Imwase

JF-Expert Member
Jun 14, 2017
501
1,000
Wakuu Habari zenu,

Wakuu naomba ushauri kwenye hili huyu mwanamke aliniambia ananipenda ila Mimi baada ya kupitiwa na fyekeo la vyeti vya form 4,huyu mwanamke niliokuwa nae kwenye mahusiano ghafla hakawa hapokei simu zangu walakunijibu sms zangu na nilivyokuja kucheki whatsapp alikuwa kaniblock kwenye namba zangu zote

Ebu acheni kutulisha matango pori hapa,waliyotakiwa kurudishwa kazini ni wale ambao waliondolewa kazini kwa sababu hawakuwahi kufika(kusoma) kidato cha nne tu,
Yaani walipata kazi serikalini kwa kutumia vyeti vya darasa la saba tu.
Vipi leo utuambie wenye vyeti feki vya kidato cha nne ndo ambao wanarudishwa ?
Usituongopee mkuu,tunga stori nyingine siyo hii
 
sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,297
2,000
Wakuu Habari zenu,

Wakuu naomba ushauri kwenye hili huyu mwanamke aliniambia ananipenda ila Mimi baada ya kupitiwa na fyekeo la vyeti vya form 4,huyu mwanamke niliokuwa nae kwenye mahusiano ghafla hakawa hapokei simu zangu walakunijibu sms zangu na nilivyokuja kucheki whatsapp alikuwa kaniblock kwenye namba zangu zote
Baada ya me kuona hivyo,nikaona isiweshida nikampotezea nikapata mwingine mwenye kunipenda kwa dhati ki hivyo hivyo maisha yanaenda.

Nashangaa Leo asubuhi kadamkia Saa kumi na mbili kamili kunisalimia.
ananipigia simu sijapokea na saizi tena kapiga sijapokea .

Ameninitumia massage nyingi moja wapo anasema ananisalimia tu na amenimis niko wapi saizi tuonane .

Nipo najifikia hapa nimfanyie nini ilinimkomeshe iliajeasimulie kwa wengine.maana me sio mjinga kiasi hicho .

Hapa nawaza twende out halafu nitoloke nimwachie msala wa bill kulipia yaani niagize vitu vya gharama .

Halafu natokomea kusikojulikana Baada ya hapo naliblock kwenye simu au nimkomeshe na kipi?

Au nimpakazie kesi ya wizi ni muweke ndani kwanza hata siku mbili tu?

iliiwefunzo kwa wengine walionatabia kama hiyo? Iliwasirudi tena hizo tabia kama umeamua kunitosa nitose kimoja sio unaangaika na hela zangu.

Nawasilisha.
Wewe kama uliachishwa kazi kwa sababu ya cheti fake, sahau kurudi kazini, endelea na maisha yako huko uliko. wanaorudi ni wale wanaofanana na Mhe. Msukuma.
 
smuyenjwa

Senior Member
Jul 28, 2016
122
225
Wakuu Habari zenu,

Wakuu naomba ushauri kwenye hili huyu mwanamke aliniambia ananipenda ila Mimi baada ya kupitiwa na fyekeo la vyeti vya form 4,huyu mwanamke niliokuwa nae kwenye mahusiano ghafla hakawa hapokei simu zangu walakunijibu sms zangu na nilivyokuja kucheki whatsapp alikuwa kaniblock kwenye namba zangu zote
Baada ya me kuona hivyo,nikaona isiweshida nikampotezea nikapata mwingine mwenye kunipenda kwa dhati ki hivyo hivyo maisha yanaenda.

Nashangaa Leo asubuhi kadamkia Saa kumi na mbili kamili kunisalimia.
ananipigia simu sijapokea na saizi tena kapiga sijapokea .

Ameninitumia massage nyingi moja wapo anasema ananisalimia tu na amenimis niko wapi saizi tuonane .

Nipo najifikia hapa nimfanyie nini ilinimkomeshe iliajeasimulie kwa wengine.maana me sio mjinga kiasi hicho .

Hapa nawaza twende out halafu nitoloke nimwachie msala wa bill kulipia yaani niagize vitu vya gharama .

Halafu natokomea kusikojulikana Baada ya hapo naliblock kwenye simu au nimkomeshe na kipi?

Au nimpakazie kesi ya wizi ni muweke ndani kwanza hata siku mbili tu?

iliiwefunzo kwa wengine walionatabia kama hiyo? Iliwasirudi tena hizo tabia kama umeamua kunitosa nitose kimoja sio unaangaika na hela zangu.

Nawasilisha.
Acha upotoshaji wewe nahisi unatumia akili za kuazima. Waliorudishwa kazini ni wale waliokuwa wafanyakazi wenye vyeti halali vya darasa LA saba . Siyo fake
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,896
2,000
 
jkalinje

Member
Dec 16, 2016
73
125
Wakuu Habari zenu,

Wakuu naomba ushauri kwenye hili huyu mwanamke aliniambia ananipenda ila Mimi baada ya kupitiwa na fyekeo la wale darasa la saba huyu mwanamke niliokuwa nae kwenye mahusiano ghafla hakawa hapokei simu zangu walakunijibu sms zangu na nilivyokuja kucheki whatsapp alikuwa kaniblock kwenye namba zangu zote
Baada ya me kuona hivyo,nikaona isiweshida nikampotezea nikapata mwingine mwenye kunipenda kwa dhati ki hivyo hivyo maisha yanaenda.

Nashangaa Leo asubuhi kadamkia Saa kumi na mbili kamili kunisalimia.
ananipigia simu sijapokea na saizi tena kapiga sijapokea .

Ameninitumia massage nyingi moja wapo anasema ananisalimia tu na amenimis niko wapi saizi tuonane .

Nipo najifikia hapa nimfanyie nini ilinimkomeshe iliajeasimulie kwa wengine.maana me sio mjinga kiasi hicho .

Hapa nawaza twende out halafu nitoloke nimwachie msala wa bill kulipia yaani niagize vitu vya gharama .

Halafu natokomea kusikojulikana Baada ya hapo naliblock kwenye simu au nimkomeshe na kipi?

Au nimpakazie kesi ya wizi ni muweke ndani kwanza hata siku mbili tu?

iliiwefunzo kwa wengine walionatabia kama hiyo? Iliwasirudi tena hizo tabia kama umeamua kunitosa nitose kimoja sio unaangaika na hela zangu.

Nawasilisha.
Waliorudishwa ni darasa LA saba walioajiriwa kabla ya mei 2004. Siyo vyeti feki, tengua kauri
 
bahati30

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,613
2,000
Wakuu Habari zenu,

Wakuu naomba ushauri kwenye hili huyu mwanamke aliniambia ananipenda ila Mimi baada ya kupitiwa na fyekeo la wale darasa la saba huyu mwanamke niliokuwa nae kwenye mahusiano ghafla hakawa hapokei simu zangu walakunijibu sms zangu na nilivyokuja kucheki whatsapp alikuwa kaniblock kwenye namba zangu zote
Baada ya me kuona hivyo,nikaona isiweshida nikampotezea nikapata mwingine mwenye kunipenda kwa dhati ki hivyo hivyo maisha yanaenda.

Nashangaa Leo asubuhi kadamkia Saa kumi na mbili kamili kunisalimia.
ananipigia simu sijapokea na saizi tena kapiga sijapokea .

Ameninitumia massage nyingi moja wapo anasema ananisalimia tu na amenimis niko wapi saizi tuonane .

Nipo najifikia hapa nimfanyie nini ilinimkomeshe iliajeasimulie kwa wengine.maana me sio mjinga kiasi hicho .

Hapa nawaza twende out halafu nitoloke nimwachie msala wa bill kulipia yaani niagize vitu vya gharama .

Halafu natokomea kusikojulikana Baada ya hapo naliblock kwenye simu au nimkomeshe na kipi?

Au nimpakazie kesi ya wizi ni muweke ndani kwanza hata siku mbili tu?

iliiwefunzo kwa wengine walionatabia kama hiyo? Iliwasirudi tena hizo tabia kama umeamua kunitosa nitose kimoja sio unaangaika na hela zangu.

Nawasilisha.
Kwa muktadha wa ulichokiandika ina maana wewe bado miaka kama 2 ustaafu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom