Wana MMU salaam!
leo limenijia wazo hebu tujadili, kuhusun waganga wa kienyeji
na mataangazo yao na sehemu hasa maarufu, wanakotokea
uzoefu unaonyesha kwamba matangazo mengi yanaonyesha...
kwanini wanawake wanapenda sana kujirahususha kwa wanaume? hivi hamuoni aibu? mwanamke anajirahisisha anafanya visa vya kila aina bila aibu kidume unajifanya kama huoni lakini binti hana habari...
Listen ... here’s how I KNOW I’m truly blessed. I have a great family who I KNOW love me for me & would go to the end of the earth for me. I have amazing friends who I KNOW ain’t no snakes and...
Hii style mpya ya makampuni ya simu ya kutangaza bidhaa zao mpya ni ya kinyonyaji sana na kinyanyasaji na inahatarisha afya ya mahusiano kwa wadada wengi.
Kwa muda nimekuwa nikiona tigo lakini...
Habari wakuu,
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari...
JE! BINTI UNA TATIZO LA KUPATA WACHUMBA ILA MWISHOWE WANAKUKIMBIA? ZINGATIA HAYA LAZIMA UOLEWE.
1. Epuka mizinga : hii itasaidia yeye kutambua kwa urahisi kuwa unampendea mapenzi ya kweli na sio...
Habari wanaJF wa MMU,
Mwanadamu wa kawaida hubadili mashuka kila baada ya siku 24, huku wale waliosingle huwachukua siku 37 kubadili mashuka yao na wale waliokatika mahusiano hutumia mashuka kwa...
Hivi utajisikiaje mtu ambae ni mpenzi wako na unachat nae almost every day.. but mmeachana kwa good terms kwasabab kuna mambo hamuendi sawa mkaamua ku break up.
The next day unamtafuta na...
Mambo wana janvi, wote ni matumaini yangu ya dhati kua muwazima.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu utofaut niuonao kati ya mapenzi na kijitoa sadaka.
Let's go...
Unapenda? Hayo ni...
" Ukiona Mwanaume yoyote anaendesha Gari aina ya Vitz au IST jua kwanza hana Hela, halafu hajiamini, mbahili, mtu wa mizinga sana na kubwa zaidi wengi wao huwa hawajui Kutongoza halafu hata...
Hello bosses!
Hawa watu wa computer science na IT sijui wana shida gana yani hata kututengenezia app ya kutafuta "mpenzi" kama tinder mwanamsubiri Mark zuckerberg huko marekani aongeze kipengele...
Tafsiri ya awali ambayo ni potofu inamhusu Adam na Hawa au Eva zimewaaminisha waumini wa hizi dini mbili maarufu hapa nchini kwamba Hawa au Eva ndiye aliyemhadaa Adam kula tunda lililokatazwa la...
Katika hii dunia kuna misemo mingi sana lakini kila siku tunasema wahenga walisema, wahenga walisema japo mpk leo sijui mhenga ni nani na walipata kuishi miaka gani hapa duniani.
Lakini usemi...
Kuna mahusiano gani kati ya pombe na ngono?
Kuna watu wanaamini wakinywa pombe wana perfome vizuri kitandani.
Kuna wengine wanaamini pombe inawaongezea nguvu kwenye kujamiiana.
Binafsi niwahi...
Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo.
Bila kupepesa macho wacha nitiririke na mada moja kwa moja.
Juzi kati nilikuja na bango langu humu LA kusema nataka kutafuta mke wa pili nijitwishe, katika...
Wanawake bwana, sometimes mnajitoaga akili baadae mnakimbilia kwa RC Makonda mkapate msaada.
Hivi unatembea na mwanaume wewe ni binti let say 20+ na mwanaume anakimbilia 40+ na mvi zimeanza...
Habari za muda huu wakuu?
Nimekaa hapa maeneo ya bar nalegeza koo kidogo baada ya mizunguko, hii bar vyoo vyake mpaka uzunguke nyuma na kwa mgeni lazima apotee hata akielekezwa maana vimekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.