zukisa
Member
- Feb 8, 2017
- 47
- 28
Habarini za sahizi wapendwa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Siku hizi tumekua tukishuhudia kina mama na kina dada wanavyojitahidi kujiinua wao wenyewe kiuchumi. Wakijikita hasa kwenye ujasiriamali.
Wakiwa wanajipangilia msingi mzuri wa maisha ya baadae ili wasiwe mizigo kwa waume zao.
Swali kwa wanaume, mtakua tayari kuoa mwanamke ambae ameshaendelea kiuchumi na mwenye mawazo ya maendeleo?
Au ni bora yule ambae hana kitu alaf uje umfanyie kila hitaji lake mf. biashara.
Maana wengi wao wamekua wakiogopa kujishughulisha wakidhani hawataolewa.