Kwanza kabiasa inabidi tujue ya kwamba kuna mbinu kadha na kadha zianzotumika na wanaume kuwatega wanawake ili waweze kukidhi matamanio ya kimwili.
Njia ambayo inafahamika na kutumika kuliko...
Waungwana,
Najiuliza kati ya hawa mwanamke yupi huwa na kinyongo sana yaani, yule ambaye amekuja uka duu nae hakuridhishwa lakini ukamapa hela au ambaye amekuja ukamduu lakini ukamridhisha lakini...
Mpo hapo!
Ya kumalizia mwaka hii!
A study in 1960 by Yale doctor, James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya homoni za testosterone levels kwa mwanaume na upara...
Habari wanajukwaa? Hitaji langu kuu ni kama nilivyoeleza hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 26, naishi Dar es salaam kikazi na makazi kwa ujumla. Kitaaluma ni mwanasheria, Elimu yangu ni diploma...
Zawadi ya thamani zaidi anayohitaji binti mstaarabu kutoka kwa mwanaume sio smartphone, gari, pesa au mali bali "NDOA". Ndoa ni ishara ya mapenzi ya dhati, Hiyo ndio zawadi imtoshelezayo moyo wake...
Salaam wanabodi,,,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja...
Maisha ya mjini ni modern life kula mayai na sausage asubuhi pamoja na chai yenye maziwa na sukari bila kusahau mkate au chapati.
Mchana utakula pilau, chips kuku, kiepe na mengineyo na jioni...
Tuanze kwa kumshukuru m/mng kwa kutupatia pumzi cku hii ya leo.Wapo wenzetu,wanao pigania uhai wao maospitarini,wapo walio tanguria mbele za khaki.Rakini yote ni mipango yake mola wetu.Turudi...
Mnajisikiaje kuwa kwenye mahusiano halafu mwenza wako hakushirikishi chochote.Hivi mnajisikiaje kuwa mnapendwa tu au mnajifariji tu ili siku ziende na kuwauliza mnaogopa.
Au mwanaume unakuwa nae...
Kichwa cha mada cha kihusike wakuu
Kwa mvurugo huu wa mei mosi pale uwanja wa Jamhuri lringa hakuna leo mtumishi wa umma atakayeweza kudindisha. Mechi za pale ngumu sana...aiseeehhhh
Wake zetu...
Habari! I has stayed with my wife more than 10 year but now she changed a lot. Unajua nimekaa kajiuliza na kumchunguza nimegundua ana uhusiano na mwanaume mwingine. Hivyo amekuwa kiburi jeuri hana...
Katika mahusiano kuna mambo mengi sanaa kuna kuvumiliana.. Lakini mwisho wa siku mambo yanakuwa magumu kila mtu anashika zake either Uachwee au Umuachee..!! Kiufupi mimi huwa Naacha...
Kuna wanaume mnavyolalamika wanawake viuno vigumu oh hatujui mapenzi na wanaume pia wapo. Unakuta mwanaume wakati wa show hatoi ata sauti kimya kama bubu. Ni kuingia na kutoka..
Kuna wanaume...
Ukimkojolea tu asipofanya jambo moja kati ya haya matatu yafuatayo anza kujiita Mwanaume ' boya ' tu na ukiwakuta Wanaume ' Marijali ' wamekaa usithubutu hata kuwasogelea.
Kupumua kwa nguvu sana...
Mimi ni mwana CHAPUTA kindaki ndaki ambapo nabusti individual mechi kila ninapojisikia kufanya hivyo.
Pia nipo kwenye mahusiano mazito sana na Girlfriend(Mpenzi wangu), ninampenda, ananipenda...
Habari wadau,
Leo ni siku ya huzuni sana kwangu, kwa maana yule ambae nimempa moyo wangu aulinde leo hii kauvunja vipande vipande.
Ni maumivu makubwa sana ameniachia, laiti ningeweza kurudisha...
Kuna wanawake kazi yao nikuwajaza watoto sumu ya maneno Mara baba yako hv Mara baba yako hakujali na wengine hawaishii hapo tu wanaweza kumwambia mtoto hata baba yako amekufa!kuna wanawake hawafai...
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.
Sifa za...
Natumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa
Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake...
Huu ni ukweli uliowazi kabisa wengi huwa wanafikiri wakishatoa mahari basi ni mke wake halali.
Jamaa mmoja aliwahi kunyan'ganywa tonge mdomoni kisa tu hakuwa amefunga ndoa na mwanamke wake.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.