Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Nayasema haya leo kutoka moyoni mwangu nilikua kivuruge sana hadi nikawa najiogopa na yote hayo yalisababishwa na damu changa na pepo la tamaa.
Mda huu nimekaa na kufikiria vitu gani natenda ilihali nna uwezo wa kuhudumia mke wa pili???
Kwanini niwe na mahara? Ni nini ambacho mke wangu kanikosea?
Hayo maswali yamekuja ghafla baada ya kuona wimbi la wanawake wenye heshima zao lakini bado hawajapata waume na wanahitaji kuolewa.
Wapo wanaohitaji japo nyumba ya pili (waislam) lakini hakuna wa kuwasitiri kwanini nisiowe?
Najua wengi hamtaamini nnachokisema kutokana na threads zangu humu, naahidi kwamba siku nikituwa Tanzania japo nyumba ya kupanga ntatafuta niowe mke wa pili.
Sijipigii promo kwamba watu waje hapana, nitatafuta mwenyewe nje ya mtandao kwa mtu alive na uhitaji kama mimi.
Nawatakia kila la kheri Mungu awabariki na mimi namuomba anibariki.