Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Jamani jamani kwani ukiona mmeshindwana na mme /mke/mpenzi /mchumba si unamuacha tu mpaka umtoe roho yake,visa vya wanaume kuwauwa wanawake vimezidi,kwani nyie wanaume hamuwezi kuachana na mwanMke mpaka umuue mbona ni ubinafsi wa hali ya juu na roho mbaya kuzidi,umemuona mwanamke ana danga lake muache chukua kifaa kuzidi yeye huwezi fanya mambo mengine huwezi kosa wanawake wengi mno mbona,unamuua mtoto wa mtu unaishia nawe Gerezani faida nini ?
Wanawake ukiona unaishi na mwanaume ana wivu sana ana mkono wa kukupiga jua kuna siku atakunyonga ukifatilia sana wanaoua wengi ni wanapenda kupiga wanawake yaan yeye hawezi hata kupigana na wanauke wenzie ni kupiga mwanamke
Kimbieni wanaume wanaowapiga mwanaume anajifanya kukuonea wivu utafikiri kakupa airpot ya dar uimiliki,wivu uwepo lakin usizidi kiasi,na nyie wanaume mnaowapiga wapenzi au wake zenu hamuogopi kula chakula cha mwanamke unaempiga akikuwekea sumu jueni na sie tuna hasira sema kuwapiga hatuwezi
Mwanamke unapigwa upo tu unatolewa upo tu siku akikunyonga akili itakukaa vyema kaburini
Mrs G