Sababu ni nature ya Mfumo dume / thamani ya mwanamke

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,172
Wanawake wanaojiuza Wanapewa majina yote mabaya lakini wanunuzi ambao ni Wanaume hawaguswi

Thamani ya bikra ni kwa mwanamke tu hakuna mwanaume atakayeulizwa kama ni bikra

Lawama zote ni kwa single mothers lakini single fathers hawapewi lawama

Binti akipata mimba baba anakasirika Sana, baba akiona binti ana boyfriend anakasirika Sana lakini akiona kijana wake wa kiume ana girl friend baba hakasiriki

Ndoa ikivunjika lawama kwa mwanamke ataitwa ameachika hata kama yeye ndo amemuacha mumewe

Dada akiona mdogo wake wa kiume ana boyfriend hakasiriki ila mdogo wa kiume akiona dada ana boyfriend Dogo anakasirika

Mwanaume anamtuma mdogo wake wa kike akamuunganishie kwa rafiki yake lakini ni ngumu Kaka kumuunganishia mdogo wake wa kike kwa masela

Mwanaume akifanya mapenzi anaoneakana rijali ila mwanamke akifanya mapenzi anaoneakana malaya

Hii ni nature ama nini hebu tiririka na wewe kama huamini kafanye mapenzi na mdogo wa kike wa rafiki yako, urafik unaweza ukafa
 
Kweli tupu umeongea. Ngoja watiririke wataalamu .

Ila kwa upande wangu naona vyote vinafanya kazi kwa pamoja.
Yaani Nature na mfumo dume vyote vinamshusha thamani mwanamke.
 
Wanawake wanaojiuza Wanapewa majina yote mabaya lakini wanunuzi ambao ni Wanaume hawaguswi

Thamani ya bikra ni kwa mwanamke tu hakuna mwanaume atakayeulizwa kama ni bikra

Lawama zote ni kwa single mothers lakini single fathers hawapewi lawama

Binti akipata mimba baba anakasirika Sana, baba akiona binti ana boyfriend anakasirika Sana lakini akiona kijana wake wa kiume ana girl friend baba hakasiriki

Ndoa ikivunjika lawama kwa mwanamke ataitwa ameachika hata kama yeye ndo amemuacha mumewe

Dada akiona mdogo wake wa kiume ana boyfriend hakasiriki ila mdogo wa kiume akiona dada ana boyfriend Dogo anakasirika

Mwanaume anamtuma mdogo wake wa kike akamuunganishie kwa rafiki yake lakini ni ngumu Kaka kumuunganishia mdogo wake wa kike kwa masela

Mwanaume akifanya mapenzi anaoneakana rijali ila mwanamke akifanya mapenzi anaoneakana malaya

Hii ni nature ama nini hebu tiririka na wewe kama huamini kafanye mapenzi na mdogo wa kike wa rafiki yako, urafik unaweza ukafa
Slut vs. Stud.....

Mfumo dume....
 
Ukweli mtupu Mkuu, lakini haya ni kwetu siye Waafrika Wazungu binti wa miaka 16 Wazazi wanamruhusu awe na BF na anaweza kwenda kulala kwa BF au BF kuja kulala nyumbani. Sijui wachina na wahindi kwenye hili wanaegemea kipande ipi.
 
Wahindi sidhani maana ni watu wa Tamaduni Sana tofaut na wazungu wanabadilika na ulimwengu pia wengi hawana dini
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukweli mtupu Mkuu, lakini haya ni kwetu siye Waafrika Wazungu binti wa miaka 16 Wazazi wanamruhusu awe na BF na anaweza kwenda kulala kwa BF au BF kuja kulala nyumbani. Sijui wachina na wahindi kwenye hili wanaegemea kipande ipi.
Hehee.. Natoa mtu meno, yan ka BF kalale nyumbani kwangu na binti yangu au binti akalale huko kwingine. Acha huu mfumo ututawale bhana.

Otherwise tutapoteza maadili yetu. Tuwaache wao na mifumo yao.
 
Siku Ya kwanza kwenda kwao,baba mkwe alinchinjia mbuzi kunkaribisha kwa familia hapo ubf na ugf tu,mama mkwe akantolea mashuka akanionyesha chumba chenye vitanda viwili eti madai yake tutalala kila mtu na kitanda chake,cha kushangaza kesho yake akatuhamishia master bedroom chumba cha kitanda kimoja,(sisi wazazi Mungu anatuona)ila bint yake wa kike alihisiwa tu ana bf alipigwa kipigo cha mbwa na kublee juu.Likizo ya chuo kabla nyumbani hawajua wao wameshakuja kunifata,kwetu naenda kumalizia tu na kuchukua ada.
Mimi mwenyewe hapa nakidume Mungu aniweke hai aniletee haraka sana mkwe na watoto.
Sisi ndo waafrika bwana
 
Hii hadithi au ukweli?
 
Back
Top Bottom