Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,616
Habari zenu wakuu.
Kumekuwa na kilio kikuu sana cha namna ya kuacha tabia mbovu katika maisha hususani MASTURBATION, UVUTAJI WA SIGARA, KUPENDA MAGOMVI, HASIRA KALI, TAMAA YA NGONO ILIYOPINDUKIA, ULEVI, USENGENYAJI, KU-OVERSPEND na mambo mengine mengi ambayo mtu unatamani kuacha lakini hauwezi kuacha ila inakua ni siri yako wewe peke yako.
Zipo njia nyingi sana za kuacha ila katika pita pita zangu nilikutana na mtaalamu mmoja wa saikolojia akanipa njia rahisi sana 3 za ku-deal na tabia hizi lakini moja kubwa na Rahisi ilikua inaitwa TAPE RECODER METHOD.
Theory behind ya hii njia ni kwamba, Mind(akili au ufahamu au nafsi) ya mwanadamu ina sehemu kuu mbili moja inaitwa CONSCIOUS MIND na nyingine inaitwa SUBCONSCIOUS mind. Conscious mind ni sehemu ya akili(mind) inayohusika na mambo ya kawaida ya mwanadamu ya kila siku kama kula, kuzungumza, kuangalia TV , kuchangia mada JF na mambo ambayo mtu unafanya ukiwa na uelewa kuwa unayafanya na hapa ndipo kuna utashi wa mwanadamu.
Subconscious mind ni akili(mind) ya mwanadamu ambayo inamsaidia kufanya mambo hata kama yeye hana habari kama anayafanya, mambo kama kupumua, kuyeyusha chakula tumboni, kumchukia mtu, masturbartion, tamaa ya ngono unapoona mtu kakaa uchi, tamaa ya kutumia sana mara unapopata tu pesa, na mengine mengi.
Cha ajabu ni kuwa 95% ya maisha ya mwanadamu yana controliwa na subconscious mind na only 5% ya maisha ya mwanadamu yana controliwa na conscious mind.
Ili mtu uwe na tabia yoyote ile ni lazima tabia ile au mazoea hayo yafike katika subconscious mind yako na kuwa recorded au stored na ndio maana tabia zote ni automatic na ni ngumu mno kuacha kwa kuwa subconscious mind haina uwezo wa kuacha kitu mpaka kitu kile kifanyiwe replacement na kitu kingine.
Zipo njia nyingi sana za kuifikia subconscious mind kama meditation, visualization, inner self talk na nyinginezo nyingi lakini kikubwa ni kuwa subconscious mind huamini kitu chochote unachokiambia mara kwa mara, au kwa kujirudia rudia hata kama kitu hicho kiwe ni cha ukweli au uongo, provided kwamba umekisikia mara nyingi sana subconscious mind huamini kuwa ni ukweli.(hapa watu wanaotengeneza matangazo hususani kwente TV hutumia sana technique hii wakichanganya na techniques nyingine kibao ili mtu kununua product lengwa)Ajabu nyingine ni kuwa subconscious mind japo haina uwezo wa kuchagua cha kuamini na cha kukataa lakini inaweka preference kubwa sana katika kuamini information zinazotoka kwa watu wako wa karibu au wale unaowaamini sana, mfano baba mzazi au mama mzazi au mchungaji wako au shekhe wako au ndugu wa karibu au rafiki wa karibu au mfanyakazi au mtu yeyote ambaye unamuamini au kumuheshimu sana.
Mtu huyo akikuambia kitu mara kwa mara hata kama ni cha uongo basi ghafla utajikuta unakiamini tu kuwa ni cha ukweli utake usitake.
Good news ni kwamba mtu ambaye Subconscious mind inamuamini sana kuliko mtu yeyote NI WEWE MWENYEWE na sauti ambayo inaiamini kuliko sauti ya mtu yeyote ni YA KWAKO WEWE MWENYEWE.
Hapa ndipo wataalamu wataalamu wakaja na kitu kinaitwa TAPE RECORDER METHOD.
Kulingana na mtaalamu wa techinique hii(Dr. Shad Helmstetter) ambaye ameizungumzia kwa kirefu yeye hutumia mfumo wa kujiambia kuwa tabia hio ameiacha lakini kwa mbinu nyingi mno, lakini anasisitiza kuwa njia nzuri ni ile RAHISI kuliko zote kwa kuwa si watu wote wanaweza kufanya mediatation wala si wote wanaweza kufanya inner slef talk.