Nikichukua maamuzi magumu ntakua nimokosea??

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,104
Reaction score
1,262
Baada ya kumaliza shughuri zangu za hapa na pale majira ya usiku nikamtumia ujumbe wa maandishi mpenzi wang kumjulia hali anaendeleaje sababu uwa nikawaida yangu kufanya hivyo hususani pale siku inapoelekea ukingoni.

Wakati tunaendelea na conversation nikamuulizia kama anafahamu jina la muhusika wa eneo huyu mpenzi wang anapokaa ujumbe ukaingia kwenye simu yangu toka kwake ukisomeka "Nipo breed kama utakuja kulala tuu sawa"

Baada ya kuusoma nikapatwa na hisia huenda anawasiliana na mtu zaidi ya mmoja kwa njia ya ujumbe mfupi bahati mbaya text imekuja kwangu kimakosa ila ilimlenga mtu mwingine,kuna msemo wa kiswahili unasema "siku za mwizi ni arobaini" nadhani wakwangu kakamatika bila nguvu kubwa kutumika.

Nitoe wito kwa dada zangu,unapoamua kuwa ktk mahusiano na mtu ambayo yatapelekea uchumba nakisha kuwa wanandoa yakupasa kujieshimu kwa kiwango cha juu,huyu mwenzenu uwa anamaneno matamu sana kuna siku moja ananiamba "usiponioa basi sitaolewa tena nitazaa mtoto mmoja na kuishi maisha yangu"

Muwe makini sana mwenzenu mpaka sasa ajui kama nimeona ujumbe na kuvunja mahusiano kinachofuata sasa sitomwambia chochote akijiongeza mapema achape mwendo itakua vema zaidi.

Nawasilisha.
 
leo nimekuwa wakwanza... wajuzi wanakuja
 
Kwanini hamlali pamoja?
Adam Na Eva upweke walipo uruhusu, nyoka akadukua tunda tundani.
Mwanamke akikaa peke yake(akipanga) lazima asumbuliwe sana na baridi.
 
Hahhaha naona unamuacha in a civil way...itabid akubaliane na zile kauli pendwa za "ukiachwa achika", " ukimwagwa mwagika"..BTW pole mkuu huyo hakua fungu lako!
Wewe badala ukamate fursa unachekacheka tu hapa..!
 
Hajatuma nyingine tena?
Mkuu ata usiumie wewe kanunue mihogo ya kutosha mibichi tafuna, nazi,karanga mbichi na piga pweza,wako wa kutosha muite gheto piga papuchi mpk ilegee iwe tepetepe na kulowa chepechepe.

Ukichoka kile kibao cha mwisho unachomoa na kumfukuza kama mbwa..!
 
Kwa Pozi Hilo Kaka Kama Kondoo Wa Hitma,utagongewa Sana Tu
 
Baada ya kumaliza shughuri zangu za hapa na pale majira ya usiku nikamtumia ujumbe wa maandishi mpenzi wang kumjulia hali anaendeleaje sababu uwa nikawaida yangu kufanya hivyo hususani pale siku inapoelekea ukingoni.

Wakati tunaendelea na conversation nikamuulizia kama anafahamu jina la muhusika wa eneo huyu mpenzi wang anapokaa ujumbe ukaingia kwenye simu yangu toka kwake ukisomeka "Nipo breed kama utakuja kulala tuu sawa"

Baada ya kuusoma nikapatwa na hisia huenda anawasiliana na mtu zaidi ya mmoja kwa njia ya ujumbe mfupi bahati mbaya text imekuja kwangu kimakosa ila ilimlenga mtu mwingine,kuna msemo wa kiswahili unasema "siku za mwizi ni arobaini" nadhani wakwangu kakamatika bila nguvu kubwa kutumika.

Nitoe wito kwa dada zangu,unapoamua kuwa ktk mahusiano na mtu ambayo yatapelekea uchumba nakisha kuwa wanandoa yakupasa kujieshimu kwa kiwango cha juu,huyu mwenzenu uwa anamaneno matamu sana kuna siku moja ananiamba "usiponioa basi sitaolewa tena nitazaa mtoto mmoja na kuishi maisha yangu"

Muwe makini sana mwenzenu mpaka sasa ajui kama nimeona ujumbe na kuvunja mahusiano kinachofuata sasa sitomwambia chochote akijiongeza mapema achape mwendo itakua vema zaidi.

Nawasilisha.
Sitaki sana kuamini story yako... Kidogo inakosa uhalisia... Hasa huo ushauri uliotoa mwishoni na hiyo karibu ya kushiriki mjadala
Si neno hebu tuitumie kama mfano hai ili tuweze kuchangia kwa uhuru

Mwanamke haachwi kwa kosa moja... We are all sinners na haya mambo tunafanya sana... Who is perfect anyway? Kikubwa ni kumuonesha alipokosea na kumjenga ajitafakari kuthamini na kuheshimu mahusiano yenu
Umefumania msg ya mtu kudanganywa na bado unaumia je ungefumania ya jamaa kusifiwa kwa ufundi kuliko wewe ungefanyaje?
Nimechungulia umri wako ni 25.... Ni umri wa wivu mkali ni umri wa kudhani akiwa wako ni wako pekeyako.... Kumbuka ukiona demu kakupenda ujue kuna boya kaachwa na ukiona demu kakumwaga jua kuna mjanja kapendwa
 
Pole mkuu!

You win some and lose some.
 
Kusoma hujui hata picha huioni jamani?? unataka uambiwe nini wakati umeshuhudia kila kitu kwa msg? basi muombe msamaha mfungue ukurasa mpya na muendelee na maisha kama kawaida...
 
Mahusiano ya ckuiz bora uwe na wanaume wawili watatu just in case akikuzingua uyu unaambatana na yule n life goes on....ivo yan
 
... Ni umri wa wivu mkali ni umri wa kudhani akiwa wako ni wako pekeyako.... Kumbuka ukiona demu kakupenda ujue kuna boya kaachwa na ukiona demu kakumwaga jua kuna mjanja kapendwa
Hili neno,
Ndugu social_science tafakari kwa kina, Jipe muda, Mtafute muongee naye, Kabla ya kufanya maamuzi, Hauko peke yako kwenye phonebook yake.
 
Dah! Mungu anakupenda huo ujumbe haukuwa wa kwako bidada kachemsha sasa imekula kwake. Uchune kimya aendelee na huyo aliyeambiwa kwamna "anabreed" kulala sawa ila utamu hakuna.

Baada ya kumaliza shughuri zangu za hapa na pale majira ya usiku nikamtumia ujumbe wa maandishi mpenzi wang kumjulia hali anaendeleaje sababu uwa nikawaida yangu kufanya hivyo hususani pale siku inapoelekea ukingoni.

Wakati tunaendelea na conversation nikamuulizia kama anafahamu jina la muhusika wa eneo huyu mpenzi wang anapokaa ujumbe ukaingia kwenye simu yangu toka kwake ukisomeka "Nipo breed kama utakuja kulala tuu sawa"

Baada ya kuusoma nikapatwa na hisia huenda anawasiliana na mtu zaidi ya mmoja kwa njia ya ujumbe mfupi bahati mbaya text imekuja kwangu kimakosa ila ilimlenga mtu mwingine,kuna msemo wa kiswahili unasema "siku za mwizi ni arobaini" nadhani wakwangu kakamatika bila nguvu kubwa kutumika.

Nitoe wito kwa dada zangu,unapoamua kuwa ktk mahusiano na mtu ambayo yatapelekea uchumba nakisha kuwa wanandoa yakupasa kujieshimu kwa kiwango cha juu,huyu mwenzenu uwa anamaneno matamu sana kuna siku moja ananiamba "usiponioa basi sitaolewa tena nitazaa mtoto mmoja na kuishi maisha yangu"

Muwe makini sana mwenzenu mpaka sasa ajui kama nimeona ujumbe na kuvunja mahusiano kinachofuata sasa sitomwambia chochote akijiongeza mapema achape mwendo itakua vema zaidi.

Nawasilisha.
 
Yani unaona sumu alafu unatuuliza unywe au umwage??

Kunywa bs
 
Back
Top Bottom