Jumamosi mbaya: Mpenzi kaja ghafa kakuta mdada anafanya usafi ndani, najitahidi kuuzima moto hapa

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Wakuu za asubuhi,

Kiukweli ubachela ni shughuli nzito, kuna binti mmoja nilielekezwa na dada mmoja jirani kua hua anawafanyia usafi watu majumbani kwao.

Akanipa namba nikamtafuta ili aje aokoe jahazi, asafishe nyumba, afute kona zote, nilikua safari ndo nimerudi jana.

Huyo binti kaja leo mapema kweli ni binti mrembo kiasi chake ana kakalio fulani hivi na nimejizuia kweli nimewaza huyu atakua analiwa sana na wanaomwita kufanya usafi basi nimepotezea.

Jana nikawa nachart na msichana wangu mmoja kua akiweza aje mchana, yaan leo. Hee gafla huyo saa tatu asubuhi ananambia nimfungulie gate.

Sasa kamkuta huyu binti anafanya usafi hapa imekua balaa, eti namnukuu "wee lazima ushamla huyu" wakati mi ndo mara ya kwanza jamani, am very innocent kwa hili.

Kamwambia aende atamalizia yeye, nimelipa hela ya bure kabsa hata hajamaliza ila hiyo mineno nayopewa hapa, eti "yaani umentoa stim zote na nyege zote"

N.b well hakuna jipya nimeona ni shee tuu kisanga hiki.
 
madem wafanyao usafi huwa wanaliwa sana, kipindi bado bado jiko nilikuwa najitafunia. namwita kuja kufanya usafi akimaliza namwambia aijie jioni pesa yake hiyo jioni anakuja amejikoki hatoki kirahisi..
 
madem wafanyao usafi huwa wanaliwa sana, kipindi bado bado jiko nilikuwa najitafunia. namwita kuja kufanya usafi akimaliza namwambia aijie jioni pesa yake hiyo jioni anakuja amejikoki hatoki kirahisi..
Af wanakuaga watam hawa watoto acha tuu,..yaan hawa na ma hausigeli hua watam saana,hata awe na sura gan,..nahis kuna namna hapa
 
Back
Top Bottom