Huyu Mdada Natamani Kumhonga Bandari

Huyu Mdada Natamani Kumhonga Bandari

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,409
Reaction score
8,811
Uzalendo umenishinda namimi nimepata mdada wa aiefuemu, aloo hiyo miguno yake na mapozi mpaka natamani nimhonge bandari yangu nirudi kwetu Dubai na makobazi yangu tu.

Katoto kana sauti tamu, sio kachoyo ka smile, kapolee.

Funzo: Mdada ukitaka kumteka mtu bila kutumia nguvu wewe lia kimahaba mkuyenge ukiingia sio unatoa mimacho kama mtalii wa kizimkazi.
 
Sasa hivi mmeongeza kodi ya magari ili kufanya ukarabati wa hiyo bandari ina maana wawejezaji wao hawana mtaji wa kukarabati faida ya wao kupewa hiyo bandari ni ipi sasa...
 
Uzalendo umenishinda namimi nimepata mdada wa aiefuemu, aloo hiyo miguno yake na mapozi mpaka natamani nimhonge bandari yangu nirudi kwetu Dubai na makobazi yangu tu.

Katoto kana sauti tamu, sio kachoyo ka smile, kapolee.

Funzo: Mdada ukitaka kumteka mtu bila kutumia nguvu wewe lia kimahaba mkuyenge ukiingia sio unatoa mimacho kama mtalii wa kizimkazi.
boss, weka picha ya huyo binti basi ili waungwana tufanye tathmini.
 
Mkuu aeifm ni Nini mawimbi ya sauti y FM au🤔
 
Back
Top Bottom