Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Pombe mbaya sana!
Miaka 6 iliyopita nilikutana na mwanamke mrembo sana. Anawaka na ana wowowo zuri sana mtoto mbichi binti kabisa! Nikamtamani.
Nikapiga sound akajaa ndani ya 18. Nikanunua condom packets 4 (condoms 12). Piga mitungi piga mitungi.
Dah!
Kwenda kulala nikasahau kutumia condom.Naamka asubuhi nilidata.Kidogo nijikojolee. Simjui! Hanijui!.
Baada ya kuhama Mkoa kikazi nikaja kusikia kafariki baada ya kushambuliwa sana na maambukizi ya HIV. Nilichanganyikiwa mno. Nikasali sana.
Miaka 4 baadae nikampa mtu mimba.Akajifungua salama.Kupima sina na familia yangu haina.
Nimepima mara nyingi sina maambukizi. Tok hapo mimi na michepuko kwaheri.
Namshukuru Mungu sana. Tuwe makini sana.
RIP binti Happy.