Chris41
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 625
- 406
KUNA SIKU ILIBAKI KIDOGO NIFULISHWE MASHUKA LODGE
Intro
Mwaka 2011-12 wakati nipo chuoni (DODOMA) nilipata show moja ya kibabe bila kutarajia na ikaanzisha mahusiano ya mapenzi lakn hayakudumu kwa muda mrefu....
One day nikiwa nimechill room nasikiliza music, mshkaji wangu nnae kaa nae room 1 akaingia na wageni wawili wakike, mmoja alikua dem wa mshkaj na mwingne alikua cousin wa dem wa mshkaj so baada ya salam tukapga stori mbil 3 pale then mshkaj akanistua tutoke tuongee chemba kdg, ( *yule cousing ake shemej ndo nmemuona kwa mara ya kwanza, she z cute, sexy and eatable))
So wakati tupo chemba na mshkaj ananitonya wale gals wanata kwnda club leo so kam vp nimpe campan twende wote hahaha mimi bila kusita nikasema haina mbaya utanikabidhi tu cousin ake shem
Ilikua mida ya saa mbili ucku, nikaenda baa ya jirani nikapiga castle lager mbili za fasta nieke akili sawa maana ckua kbs na mzuka wa club ikabidi niutafute, wakati huo nimemuacha jamaa na madem room,,,
Kurudi room nikawa nimechangamka kdgo, tukajiandaa hadi kufika saa nne safari ikaanza