This babymama when she is angry anaongea kama chiriku na hadi masikioni anakuja, ukinyamaza umemu ignore, ukiongea mori ndio unazidi damn!!
That day, only that day uvumilivu ulinishinda, vibao viwili tu hahaha simu zilitembea dunia nzima, bad guy nikawa mimi, kosa lilifunikwa,
kila mtu,
"That ain't fair brah"
"Be a man brah"
"i'm disappointed on yo brah"
"Stop acting childish brah"
LOL, biggest mistake ever.
Napinga ukatili huu dhidi ya wanawake, mkubwa mwenzio huwezi kumpiga tena unahakikisha mpk unamtoa ma alama,
Na wanawake pia kataeni kupigwa kwa kua na kauli nzuri maana midomo yenu hua inaponza.