Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Nawasalim nyote...kwa waislam wenzangu Asalam Aleykum, na pia kwa wakristo wenzangu mana hata nyie ni wenzangu, Tumsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu apewe sifa. Na wengine jaman habar zenu. Baada ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi? kwa neema za Mwenyezi Mungu naamini wote mu wazima wa afya. Bila kupoteza muda niende kwenya maada. Wakati fulani rafiki yangu wa karibu alikua kwenye urafiki mkubwa na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo nimefanikiwa Kutembelea ofisi Moja hapa Jijini.Kilichonifanya niandike ni kwamba hii sio kawaida. Nimekuta wanawake sita na Mwanaume mmoja. Kitu cha ajabu ni kwamba hawa wanawake wote ni...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Cancelled
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari ni gani wapendwa! Katika pitapita zangu za hapa na pale huku na kule nilifanikiwa kupitia nyumba ndogo kule kitaa cha fb.co Ambapo nilikutana na JF page ambapo kuna watu wengi ambao...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Hakika,kadri tunavyoelekea mwisho wa enzi za duniani,maisha yanazidi kuwa rahisi sana. Kwa sasa hivi hata wale wasioweza kutongoza vema,sasa wamebahatika kupata wenza. Tangazo hilo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
BWANA harusi aliyekimbiwa na bibi harusi, Omary Mohamed, amesema baada ya tukio hilo amelazimika kudai fedha zake za mahari ili aweze kuendelea na maisha yake. Akizungumza na MTANZANIA jana...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Make it short, Nipo Dar ni mfanyabiashara, umri 29yrs. Natafuta mke mwenye sifa tajwa hapo kwenye Tittle sijali sana uzuri wala rangi kikubwa tu awe mtafutaji kama mimi, na mwenye kujua majukumu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umueoa au umeolewa, tunajua Mungu hapendi zinaa lakini kwa akili ya kibinadamu umepata mchepuko. Mine/mke amesafiri unauketa ndani. Mnalala kwenye marital bed, hii jamani si laana?
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama wiki mbili zilizopita nikiwa chumbani na mpenzi wangu ambae hatuna muda mrefu kwenye mahusiano tulikwazana kwasababu yeye ndo chanzo cha kukwazana kwetu. Mzee mzima nipo juu ya kifua chake...
5 Reactions
111 Replies
11K Views
Ni kweli kuna dadainstagram kaandika eti, je huku kwetu hapo Dar na mikoa mingine mnaweza kusubiria hili? Relationship goals..... if you never do this knows that there’s no love n chemistry...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Salam zenu wana Jf, Huyu mwanamke huwa simuelewi kabisa,kipato changu kidogo sana sina uwezo wa kununu ,kuku au nyama buchani inanilazimu na nimezoe zetu za tembele,dagaa mchicha. Chaa ajabu...
4 Reactions
88 Replies
8K Views
Kumekucha salama Kama ninavyosema, nina mchumba wangu ambaye tumekuwa wote kwenye uchumba Kwa miaka 4 sasa lakini pamoja na kwamba tumepanga tuoane baadae lakini tuneshakuwa kama mke na mme japo...
7 Reactions
104 Replies
12K Views
Hala halaaa halaaa nyie wanaume wa Kitanzania msidhani tunafurahia sana hii tabia yenu mbaya,mmetugezua sisi uwanja wa mazoezi kila siku mwacheza viwanja vyetu vya nyumbani lakini Mechi mwaenda...
8 Reactions
365 Replies
19K Views
Zingatia ushauri huu. Badala ya kuhangaika na nyonga zako,mapoda na wanja wa mwendokasi,wewe jikite kwenye jiko. Hakuna mwanaume anayeweza kuchomoa kwenye misosi ya maana. Ukilijulia tumbo lake tu...
4 Reactions
112 Replies
7K Views
Habari wakuu, Wikiend ilikua na mambo mengi kwa upande wangu ikiwepo ya kukutana na mwanamke ambaye nimemfuatilia kwa muda kama miezi mitatu hivi, nikamvumilia, niampanga sawa na hatimaye jana...
3 Reactions
96 Replies
14K Views
Kuna michepuko haiachiki. Kila ukijaribu tu image ikija unajipeleka. Utakuta mdada ana kila idara unayoihitaji, yaani kila utakacho unapatiwa. Yaani ile unapanga visa na mikasa balaa ya kumuacha...
3 Reactions
135 Replies
11K Views
Habari zenu waungwana, Nimekua nikiona wapenzi wengi huchukua maamuzi ya kuwablock wapenzi wao pindi inapotokea wamegombana iwe kwasababu za msingi au za kijinga. Mfano mtu anaweza akamblock...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Yaani huwa napiga na vigelegele moyoni kabisa. Utakuta unampenda mwanamke kwa dhati kabisa na unakua tayari kumpa hata ufalme wa moyo wako autawale. Unambembeleza kwa hisia za ndani mpaka unalia...
6 Reactions
36 Replies
6K Views
1. Usiharakishe uhusiano mpya! Unapoachana na x wako basi jipe muda kutafakari mapungufu yako na wap ulikuwa unakosea.. kuanzisha uhusiano mpya after breakup huwa mara nying unaenda sehemu sio...
3 Reactions
48 Replies
15K Views
Back
Top Bottom