Mapenzi kifua kikuu

Mapenzi kifua kikuu

preyzgod

New Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
4
Reaction score
4
Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano zaid ya mwaka 1 na miezi 6 lakin kwasasa kwauchunguz nilio fanya nimegundua anatoka na rafiki angu wakalib, ushauli wakubwa nifanyaje mie na dem namkubali yani nikiwa naye kitandan najisikia mwepes. Naswaiba saiz kanitenga.
IMG-20180507-WA0089.jpg
 
itabidi uchunguze rafiki yako katumia formation gani......ili wewe uiboreshe.......hakuna namna nyingine.......
 
Ahahaha mi sikuwaga na uhakika nani kamtongoza mwenzake nilichotaka kujua ni wanapeana papuchi basi ila demu nilikuwa nampenda kichizi na jamaa alikuwa best kabisa... nikampiga chini demu kabisa nikapunguza na ushikaji kwa jamaa na kuwaambia waendelee tu na wawe sawa..! Sijui waliishia wapi thou sina kinyongo kwa wote... Natafuta zangu mke siku hizi😎
 
achana naye.....unataka mpka akutemee mate ndo uone kuwa dem ni takataka
 
Kaku cheat na Rafiki yako still unataka ushauri? Interesting
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom