kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Asha Mohammed mkazi wa Kilungule - Ubungo amemkibia bwana harusi wake Omary Mohamed pamoja na mshenga wake ambao walibaki wamepigwa butwaa!
Akizungumza na Mtanzania, Omary alikiri kukumbana na kadhia hiyo huku akisema alijuana na Asha kupitia mtandao wa simu ya mkononi.
Chanzo: MTANZANIA
Akizungumza na Mtanzania, Omary alikiri kukumbana na kadhia hiyo huku akisema alijuana na Asha kupitia mtandao wa simu ya mkononi.
Chanzo: MTANZANIA