Yupi anafaa kuwa mke kati ya hawa?

Yupi anafaa kuwa mke kati ya hawa?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,418
A ni a girl about town. Alianza sexual relationships akiwa na umri wa miaka 16, akiwa na miaka 17 alipata mimba, kwakuwa wazazi wake wanathamni elimu alipelekwa Aghakan Hospital mimba ilitolewa.

A amefika chuo na kuona wanaume wamemchezea sana, ameamua kuwa mlokole.
Umehangaika sana kuingiza mtongozo kwa A amekukubalia lakini kwa masharti kuwa hakuna sex mpaka ndoa. Kwakua unampenda A umekubaliana na hali.

Unaenda na A kwenye office party, mnakutana na rafiki aliyesoma na A Upanga primary. Jumatatu ofisini rafiki anakupa story za A alivyokua anagombaniwa enzi hizo. Moyo wako unakosa amani unaamua kumwacha A. Bila kosa.

Unaamua kutafuta ambae hana history. Umpata B, ambae ni bikra. Umemuoa B mmeanza maisha. Umesafiri marafiki wa B wamemfahamisha B kwa mkaka mwenye boutiques. Anaanza kumpa B magauni ya laki, B anataka kuwa wa mjini.

Anaanza kukitoa kwa mkaka na kupewa nguo za bure. Haishii hapo anampata na mwingine wa kujirusha, B hajawahi kwenda club maishani mwake. Kuona raha amezipenda. Hatimae wewe ni mwanaume wa nne kwa B na yuko kwenye ndoa na aliolewa bikra

Kati ya hawa ni nani mke mwema?
 
Kitendo cha kujua historia mbaya ya A kinaondoa kabisa uhalali wa kumuoa. Licha ya kuwa A anafaa kuolewa na kuwa mke mwema kabisa ila inapaswa mwanaume asijue historia yake mbaya.

B naye hafai kuwa mke kwa sababu amesheheni tamaa mbaya. Kwa mimi nasema kwakuwa wote nimeujua upande wao mbaya, hawafai kuwa wake.

Nahitimisha kwa kusema kuwa Kila mtu anayo maovu yake ambayo hangependa mtu yeyote ajue hata mwenza wake. Kitendo cha mwenza kujua maovu ambayo yalipaswa kuwa siri kinaua mapenzi ndani ya moyo na kinafanya mmoja kuwa na shaka muda wote juu ya mwenzake.
 
Nambeba B nang'oa sild af narud zangu kwa A ambae kashaijua dunia

Kuicha bikra ni kosa la jinai[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji41]
 
Kitendo cha kujua historia mbaya ya A kinaondoa kabisa uhalali wa kumuoa. Licha ya kuwa A anafaa kuolewa na kuwa mke mwema kabisa ila inapaswa mwanaume asijue historia yake mbaya.

B naye hafai kuwa mke kwa sababu amesheheni tamaa mbaya. Kwa mimi nasema kwakuwa wote nimeujua upande wao mbaya, hawafai kuwa wake.

Nahitimisha kwa kusema kuwa Kila mtu anayo maovu yake ambayo hangependa mtu yeyote ajue hata mwenza wake. Kitendo cha mwenza kujua maovu ambayo yalipaswa kuwa siri kinaua mapenzi ndani ya moyo na kinafanya mmoja kuwa na shaka muda wote juu ya mwenzake.
Utaacha wangapi? Kama umeridhika kuwa A si yule nunaehadithiwa ninaona anafaa kuwa mke mwema. Mungu mwenyewe anasamehe ile kuwa wewe binadamu?
 
Daah!acha but all in all binadamu asihukumiwe kwa matendo yake yaliyopita!tujifunze kuziba masikio ili mambo yaende
 
Kitendo cha kujua historia mbaya ya A kinaondoa kabisa uhalali wa kumuoa. Licha ya kuwa A anafaa kuolewa na kuwa mke mwema kabisa ila inapaswa mwanaume asijue historia yake mbaya.

B naye hafai kuwa mke kwa sababu amesheheni tamaa mbaya. Kwa mimi nasema kwakuwa wote nimeujua upande wao mbaya, hawafai kuwa wake.

Nahitimisha kwa kusema kuwa Kila mtu anayo maovu yake ambayo hangependa mtu yeyote ajue hata mwenza wake. Kitendo cha mwenza kujua maovu ambayo yalipaswa kuwa siri kinaua mapenzi ndani ya moyo na kinafanya mmoja kuwa na shaka muda wote juu ya mwenzake.
Umemaliza braza
 
Utaacha wangapi? Kama umeridhika kuwa A si yule nunaehadithiwa ninaona anafaa kuwa mke mwema. Mungu mwenyewe anasamehe ile kuwa wewe binadamu?
Mwanamke msaliti hana nafasi ktk maisha yangu. B lazima nitamuacha. Ila A kama nimegundua hayo maovu ya kihistoria nikiwa nimeshamuoa hakika sitamuacha kwa ajili ya hiyo. Ila nikigundua kabla sijamuoa itakuwa ngumu sana kwangu kumuoa.
 
Nanyanyuka na A, sametime wanawake kwangu wamesha kuwa pasua kichwa...
 
Hahaha unatafuta sababu ya kutetea umalaya wa utotoni kwamba nikikua nitaacha ..wote sifuriiiiii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
A ni a girl about town. Alianza sexual relationships akiwa na umri wa miaka 16, akiwa na miaka 17 alipata mimba, kwakua wazazi wake wanathamni elimu alipelekwa Aghakan Hospital mimba ilitolewa.
A amefika chuo na kuona wanaume wamemchezea sana, ameamua kuwa mlokole.
Umehangaika sana kuingiza mtongozo kwa A amekukubalia lakini kwa masharti kuwa hakuna sex mpaka ndoa. Kwakua unampenda A umekubaliana na hali.

Unaenda na A kwenye office party, mnakutana na rafiki aliyesoma na A Upanga primary. Jumatatu ofisini rafiki anakupa story za A alivyokua anagombaniwa enzi hizo. Moyo wako unakosa amani unaamua kumwacha A. Bila kosa.

Unaamua kutafuta ambae hana history. Umpata B, ambae ni bikra. Umemuoa B mmeanza maisha. Umesafiri marafiki wa B wamemfahamisha B kwa mkaka mwenye boutiques. Anaanza kumpa B magauni ya laki, B anataka kuwa wa mjini. Anaanza kukitoa kwa mkaka na kupewa nguo za bure. Haishii hapo anampata na mwingine wa kujirusha, B hajawahi kwenda club maishani mwake. Kuona raha amezipenda. Hatimae wewe ni mwanaume wa nne kwa B na yuko kwenye ndoa na aliolewa bikra

Kati ya hawa ni nani mke mwema?
Hzo fkra za muoga.
 
Kwa mwenye akili A ni mzuri maana ameshapitia mengi hivyo hamna asilolijua kama utaamua kuwa nae anaonekana atatulia na kuwa mke mwema hivyo ni wewe kuamua historia haiwezi badilika ila wewe unaweza ibadilisha ikawa sio kugombaniwa bali sasa ni mke wa mtu na ana heshima kwa mumewe
 
A ndio mke sahihi wa kuoa hapo maana alitumika kipindi akili bado haijamkaa sawa na kwa kuwa ashakuwa mtu mzima basi na imani akiolewa atatulia tuli maana anafahamu raha zoteza dunia so hakuna cha kumrubuni tena....

B ni pasua kichwa na usipoangalia utajikuta huna utakalofanya zaidi ya kuugulia maumivu ya kuchapiwa maana raha kazijulia ukubwani tena mbaya zaidi magonjwa ya zinaa yatakuwa rafiki yako...

So mi nadhani A anastahili ndoa kuliko B ....
 
Mim ningechagua A,maana historia ya ayo aliyoyafanya ilikua kabla sijamwona.
 
Mke bora wa 2 no matter what!.. Yani mke wangu aponde ujana nije ambiwa madhambi yake kwenye ndoa!???..No way!
 
Back
Top Bottom