Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ndugu wana JF! Na baada ya salamu. Karibuni katika mjadala kuhusu upendo. Katika miaka ya karibuni dunia imeshuhudia kuchanua kwa ndoa ya mke mmoja (monogamy) na kudumaa kwa ile ya wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wazazi wote ni wasomi wenye shahada za uzamili. Baba yuko serikalini na mmoja wa wakuu wa idara nzito. Mama ni mwajiriwa wa UN nae ni mkurugenzi wa kanda. Kutoka na na kazi zao, Baba hurudi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jjjj
5 Reactions
110 Replies
11K Views
Wana JF kwetu sisi tunaopenda kutongoza hovyo inabidi tuache tabia hiyo, siku hizi wasichana wana mitego ili uwatongoze na wajipatie hela halafu ana sepa, mwingine ukimtongoza hakatai anajifanya...
5 Reactions
66 Replies
8K Views
  • Closed
Hii! kwa wote, Nimepata mchumba wa kabila la wazinza, Nawaombeni kwa wale wanao lifahamu kabila hili la wazinza, je wanawake wa kizinza mila zao zikoje? tabia zao kijami na pia kiunyumba zimeka...
0 Reactions
35 Replies
16K Views
Huyu shost tumekua pamoja huku kwetu Kwamtogole lakini bwana riziki ya mbwa iko mguuni. Shost alipata kazi kwenye kampuni moja ya mtu binafsi khee yaliyotokea yanafurahisha sasa hivi yeye ni mke...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Sitaki kumtaja kwa jina hapa nitamwakilisha kwenu kama binti. Binti alizaliwa katika familia ya Magoa. Sielewi kilichotokea lakini akiwa na umri wa miaka miwili aliachwa kwa watawa wa kanisa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Duu kweli siku njema huonekana asubuhi Jana jion ya kuamkia leo kwanza nilitoka zangu job nikapitia kwa mange nikapiga Zangu Tangawizi moja na biskuti za jero kama nilivyozoea, Nikashuka zangu...
1 Reactions
80 Replies
14K Views
Those people who still f**k in the bedroom na kulaliana kama "kifo cha mende"..ushamba imewafikisha wapi??watu ni kuf**k outside the box buana..peleka mtu kitchen,,wekelea mguu juu ya Gas Cooker...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Wanasayansi wa Vyuo Vikuu mbalimbali huko nchini Uingereza wamebaini / wamegundua kwamba Wanaume wasiooa au wale ambao hawana mpango wowote wa kuja kuona wanakuwa katika nafasi kubwa ya kutougua...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Hi,mimi ni mwanaume najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke ambaye nitaishi naye siku zote,mwenye umri wa miaka 23-28,elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea,dini mkristu,kabila lolote,awe...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu tometofautiana kidogo lugha na mambo haya ni kawaida kutokea kwenye mahusiano.Mimi naweza kiri kwa namna moja ama nyingine ndie chanzo cha kupishana kiswahili na huyu mpenzi...
0 Reactions
63 Replies
4K Views
Habari, Nafuta wife material mwenye mapenzi ya dhati, kwa aliye serious ani pm. Wasifu wangu Sina mtoto Sivuti sigara Nimejiajiri mwenyewe ili mradi mkono mkono uingie kinywani Elimu chuo kikuu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kama ilivyo ainisha hapo juu, kwani wanawake wengi mmekuwa mkilalamika mnakosa wanaume wa kuwaoa, yawezekana sababu ni kuwa haujawa na sifa za kuwa mke lakini unasifa za kuwa refreshment tool...
7 Reactions
42 Replies
7K Views
Habari zenu wapendwa Leo naitaji wambia vijana ambao bado hawajaoa ila wanampango wa kuoa, nasema haya kutokana na uzoefu na changamoto tunazokutana nazo katika maisha ya kila siku Ukiwa wewe ni...
10 Reactions
109 Replies
15K Views
Hii sehemu ina totoz kali sana. Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia. Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua...
13 Reactions
170 Replies
22K Views
Heshima kwenu wakuu, Kuna kitu sasa naona kimeshika hatamu kwa dada, Mama zetu wa siku hizi. Unakuta Mwanamke mwenye ndoa yake au yupo kwenye mahusiano, lakini akikutana na rafiki yake(Sio...
3 Reactions
24 Replies
16K Views
Wataalamu wa masuala ya mahusiano hudai kuwa mara nyingi watu ambao huachana na wapenzi wao wa kwanza kabla ya kuoana huwa na na sababu zinazofanana, ili kuthibitisha hili ebu tuambizane sababu za...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…