USIILIE KIAPO TABIA YAKO, NI HATARI SANA!
KAMWE usithubutu kuapa kutofanya jambo fulani wakati ni tabia yako. Apa kwa kile ambacho unajua kimetokea tu, hivyo unaweza kujiapiza kutorudia na kweli...
Ama kweli vijana tuliozaliwa miaka ya 90s tuna gundu hasa warembo na mabebez jamani khaaa!
Enzi hizo bado binti mchuchu nakumbuka nilkuwa naona wadada wakihongwa magari ,nyumba,na kufunguliwa...
Habarizenu wana jamvi twende moja kwa moja kwenye mada husika
Kumekuwa na tatizo kubwa kwa baadhi yetu au jamaa zetu kuto kupata Mtoto ( Watoto) na wamefanya jitihada nyingi bila mafanikio, wapo...
Habari wakuu,
Nimekuja mbele yenu wajuvi wa mambo ili kujuzwa mambo muhimu kuzingatia kabla sijaingia katika ndoa hivi karibuni.
Mimi huwa naabudu dhehebu la Roman Catholic.
Lakini kiukweli...
NAENDA KUOA PEMBA.
Naenda kuoa Pemba, msichana wa Kojani
Yule anaejipamba, kwa mitandio kitwani
Aongea kwa kutamba, na lafudhi ya kipwani
Naenda kuoa Pemba, alo na njema tabia.
Kojani nikimkosa...
Jamani nikiona Agness amefariki akiwa mdogo nasikitika kiukweli,vifo vya vijana wadogo vinauma sana ,nikiona mwanae naumia kaachwa hana hata kaka au dada yake ,nikifikiria na mimi mtoto wangu yupo...
Ladies and gentlemen
Hope mko fine Jmosi hii tulivu
Naandika toka mji tulivu na safi kabisa wa Manispaa ya Moshi.
Mimi si mwenyeji wa mkoa huu ila katika harakati za maisha, najikuta...
Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wakati nakuwa kitaani kwetu ilikuwa ni kawaida kwa Wanaume kugombania Mwanamke, walikuwa wanapigana ngumi kabisa mpaka kuumizana.
Nilivyokuwa nilipo sasa hivi...
Nafaham wengi wenu mliwahi kuona uzi wangu wenye mada iliyopo hapo juu.
Ishu ni kwamba yule mwanamke bado amekaa siku nenda siku rudi kaamua kurudi tena lakini mimi bado msimamo wangu ni ule ule...
Habari za humu wana jamvi, moja kwa moja niende kwenye maada.
Kama kichwa cha habari kinavyo, jieleza, soma kisha nipe msaada wako
nimekuwa mtu ambaye sielewi kwanini nakuwa hivi hususani...
Kiukweli mitandao ya kijamii imetukutanisha wengi na inasaidia sana kufahamiana pamoja na mambo mengine
Lakini kwangu mimi kila binti niliyefahamiana naye kupitia mitandao ya kijamii au simu za...
MAISHA YANA VITU 7;
1:- Furaha.
2:- Karaha.
3:- Misukosuko.
4:- Majonzi.
5:- Migogoro.
6:- Mikasa.
7:- Chuki.
Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kuyashinda haya yakupasa...
Nabadili strategy. Nimeoana kuwa serious sana haisaidii. Sasa ni mwendo wa full - maraha!!
Ninatafuta binti anayetaka kuwa na mahusiano na mwanamume. mahusiano hayo yanaweza kuishia katika ndoa...
kwema ndugu zangu..
juzi mpenzi wangu kanitembelea gheto nikaona ngoja tujisogeze kwenye pub flan hivi tupate walau mbili tatu..sa kwenye Ile pub kuna bar maids kibao nimezoeana nao..basi tukawa...
1. Nitakuangalia machoni mara kwa mara na kukuhakishia mapenzi niliyonayo juu yako.
2. Nitaendelea Kukupenda na kukujali kwa kila hali na kukuhakikishia unalo bega langu la kuinamia.
3...
Habari zenu wakuu na wadau wote wa MMU. kama wapaitavyo wenyewe "Tabata kwa wala bata" ni kweli especial kipindi hiki cha vyuma na girisi, kwa hapa Dsm kwa sasa ndio sehemu cheap ya kula kuku na...
Nina mwanamke nliezaa nae mtoto mmoja
Tatizo ni Moja tukiwa karibu yani nikimtembeleaga mkoa anaofanyia kazi anakua msikivu,adabu na anajua kucare
Nikiwa mbali nae ni mikwaruzano,nikimpigia...
Wana JF naomba niwape hiki kisa cha kweli...ili na wengine wajifunze...!
Kisa hiki:
Niliopoa binti mmoja akiwa tu kamliza form six nikavuta ndani kabla hata matokeo kutoka.....matokeo kutoka...
Kuna wanawake wengine ni mashetani,hata kama unatembea na mme wake ndo ufanye hivyo jamani
Dada angu anapitia wakati mgumu anahitaji ushauri baada ya kushika sim ya Mme wake wakati ameacha chaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.